MAKINDA: Nusu ya wabunge wataka kuacha ubunge kutokana na hali ngumu ya maisha

Duh huyu mama kanistua sijui ndoo uzee unamnyemelea ina maana ndo maana na yeye ameamua asigombee tena uchaguzi ujao?fine manake miaka yake yote 17 pamoja na kuwa bacherol mzoefu bado analalamika duh! nchii hi bwana na je angekuwa anasomesha mtoto feza au chuo kikuu igekuwaje..anasema sisi ndo wabunge wetu wanalipwa kiasi kidogo kuliko wabunge wengine wa afrika kwa sekta nyingine katika rank tupo wangapi?na je tanzania ni ya ngapi kwa umaskini duniani?au anataka tuwe sawa na nigeria au south afrika?duh kweli chadema mnatisha!!moto ule ule mpaka wajiuzulu wote this time watagombea walimu wa shule za msingi wenye shida wakatutetee
 
bora waachie ngazi kumbe hawako pale kwa maslah ya taifa wapo kwa maslah yao haina maana nibora waondoke.tena mm naomba mungu magamba wote watoke vijana cdm waongoze kua na wabunge weng
Je, unajuwaje kama wabunge wa CDM kama nao hawamo kwenye sakata hili?
 
Anasema wabunge wa tanzania ndio wanaongoza kwa kulipwa posho ndogo duniani na hata wabunge wa nchi jirani kama kenya wanawashangaa.[/QUOTE

wabunge wa tanzania wanaishi tanzania wanafanya kazi tanzania, watalipwa kulingana na uchumi wa tanzania, kama kuna anae taka kulipwa kama wa nchi nyingine si aende akagombee huko duniani anakokusema?.yeye anataka awe mbunge tanzania halafu alipwe kwa kiwango cha duniani? mbona hasemi umasikini wa kule njombe anakotoka? au yeye siyo wa njombe?
 
Ametoa mapovu na nusu ya maneno aliyozungumza ni uongo mtupu. Kweli mtaji wa magamba ni ujinga ........ Mpaka msoma habari wa ITV kacheka lol..... Magamba are Dogs in a manger lolz...

Ulimwonaee, aliishia kucheka kicheko cha huzuni, kuona mama mtu mzima akitudanganya watu wazima wenzake. I see!!
 
Je, unajuwaje kama wabunge wa CDM kama nao hawamo kwenye sakata hili?
Shibuda na Joseph Selasini ndio wazee wa posho kutoka CHADEMA. ila hii taarifa ya Makinda ni sawa na kuwafanya wapiga kura wake wa Njombe kwamba hawana uwezo wa kufikiri, hii ni dharau kubwa sana kwa viwango vyovyote vile. leo kuna watu wanatafuta kazi ya kubeba zege na haipatikani ndio ije mtu atake kukataa kazi ya kwenda kulala Bungeni!!?? haya ni matusi.
 
hawamo kwani wao hawajazoea kuspend saana na wengi wao ndo mara ya kwanzan na the gud things wao hawakuinvest saana kwenye uchaguzi kwani kura walizopata ni uamuzi wa wananachi kwani kuna sehemu nyingine kama arusha mjini,mbeya mwanza n.k hata wangeweka jiwe na ccm bado chadema wangeshinda so sina shaka na hii ndo matunda ya kununua ubunge nadhani senior umenza kuona sasa wabunge wa ccm wamenza kupelekwa mahakamani kwa madeni na wiki mbili zijazo ccm isipoingilia kati Bi shellukindo atafirisiwa kwa deni la *******analodaiwa azania benki mkuu
 
Huyu Mama sijui ana matatizo gani? Eti anasema Wabunge wa Tz ngio wanaolipwa kipato kidogo kuliko wote duniani kama vile hajui TANZANIA NDIO NCHI MASIKINI KULIKO ZOTE DUNIANI. Serikali inashindwa kuwalipa watumishi mishahara kwa wakati, wakulima hawana pembejeo, shule hazina vitendea kazi, hosptali hazina dawa, n.k SPIKA NI MMBINAFSI NA ANAWAZIA KUJILIMBIKIZIA MALI... Anasema "Wabunge wanataka kuacha Ubunge kwa kuwa na mshahara mdogo" JE TANZANIA INAHITAJI VIONGOZI KAMA MAKINDA?
 
Anazeeka vibaya huyu kama amekuwa mbunge kwa miaka zaidi ya 30 halafu ajajenga nyumba ajilaumu mwenyewe.
 
Kabaka uspika huyo, laana inamtafuna kama kk ake jk a.k.a ba2mwanaasha anavohaha na majanga vurugu,failure kila kona!OLE WAO
 
wabunge wa ccm wote waache except jmakamba,zitto,lissu,mnyika,mdee,Mbowe wanatosha kutuwakilisha watz wote!
 
waache tu ubunge sababu wao ni sehem ya umaskini wa nchi hii kwa kupitisha sheria na mikitaba ya ovyoovyo kisa chama tawala pu........ Sana Inaudhi kwa kweli.
 
Alafu anaongea kwa hasira na hao watu wa watu utadhani ndo wamemnyima hiyo posho.

Kilichonisikitisha ni pale aliposema Kenya wanajilipa posho kubwa na wanawashangaa wao kwa nini hawajipi mahela.

Anasshindwa kufanya hata comparison ya uchumi wa Kenya na wa hapa, na anashindwa kukumbuka wao ndio waliotufikisha hapa leo kuwa nchi masikini pamoja na all resources tulizo nazo.

Nimekasirika kweli
 
Why is she bringing this now? Are they cooking something?
Nasubiria kwa hamu!!lazima kuna kitu kinafuata!!!!!
 
Back
Top Bottom