Una uhakika? Tanzania hakuna chama cha kukiondoa CCM madarakani
Anna makinda leo ktk bunge katupilia mbali madai ya TUNDU LISSU ya kutaka kanuni fulani ivunjwe ili kuruhusu bunge lijadili suala lililotokea Gongo la Mboto. Lakini kwa mshangao mkubwa mheshimiwa Spika wa bunge letu ametupilia mbali madai hayo akisema suala la gongo la mboto halina maslahi ya taifa. hii imeonesha waziwazi kuwa spika analinda maslahi ya Chama chake. Je hali hii itatupeleka popote?
[font="]wengi tunafahamu jinsi mchakato wa kumpata mgombea uspika wa bunge kupitia ccm ulivyokwenda, ndani ya chama cha mapinduzi kulijitokeza baadhi ya viongozi kuuponda uongozi wa bunge uliopita kwamba ulikuwa mbovu na ulikuwa unakipeleka chama kusiko, mtakumbuka pia sababu alizotoa andrew chenge kwanini alilazimika kujiingiza katika mchakato wa kutaka kugombea nafasi hiyo nyeti, kwa kumbukumbu zangu andrew chenge aliulaumu uongozi wa sita kwamba haukua mzuri ndiyo ulioibua migongano mingi iliyopo ndani ya ccm na kupelekea wananchi kupunguza imani yao na ccm. [/font]
[font="]sasa swali ninalo jiuliza kwasasa ni je huyu mwanamama anna makinda atatimiza ndoto za chama chake au ndo atakishushia hadhi yake kabisa? Huyu mwanamama alipitishwa na chama chake kwa kigezo kwamba kwasasa wanahitaji kutoa kipaumbele kwa mwanamke na sina uhakika sana kama walizingatia uwezo wa mtu. Nasema hivyo kwani nimegundua ni mapema sana huyu mama ameanza kufanya vitu nisivyokuwa ninavitegemea. [/font]
[font="]kwa dalili ninazoziona mimi nahisi ccm inaweza kudhalilika sana kipindi hiki kupitia spika makinda[/font]
- [font="]ikumbukwe hapa majuzi freeman mbowe alipomwomba waziri ngeleja aliambie bunge pamoja na watanzania wote, ni lini hasa mgawo wa umeme utakwisha na atoe tamko la serikali kuhusu tatizo hilo, wakati ngeleja akisimama kutaka kujieleza baada ya swali hilo, bila kujua nini ngeleja angeweza kuongea, makinda akaingilia kati na kumzuia asijibu hilo swali, alimtaka ngeleja kutafuta muda muafaka wa kujibu swali hilo akisema kuwa halitakiwi kujibiwa kwa haraka kutokana na kugusa zaidi masilahi ya taifa. Kwa tafsiri yangu ni kwamba makinda hamuamini ngeleja na hivyo aliamini angeweza kutoa tamko la serikali kwa kukurupuka na bila kulishirikisha baraza la mawaziri, kitendo cha kutokumuamini waziri ngeleja ni tusi kubwa kwa aliyemteua yaani kikwete.[/font]
- [font="]achilia mbali uamuzi wake wa juzi kuhusiana na yeye kutaka uthibitisho kutoka kwa godbles lema dhidi ya waziri mkuu ili ifahamike kama waziri mkuu ni muongo au lah kwa mtazamo wangu hapa bila yeye kujua atamdhalilisha sana waziri mkuu pindi ikithibitika kwamba amelidanganya bunge na sijui atachukuliwa hatua gani. Mimi sifahamu .[/font]
I was even more than surprised kuona spika anamzuia waziri ngereja kujibu swali wakati ngereja ni waziri kamili sio naibu waziri na isitoshe ngereja alikwisha jiandaa kujibu. Nakumbuka kipindi cha sitta (samwel) mawazili walikuwa wanahimizwa kujibu maswali kwa ufasaha na sio kuleta bla bla. Leo wakati wa makinda mawazili wanaambiwa wajibu kwa kifupi na wengine wanaambiwa wasijibu! Kweli spika amepatikana. Nahisi mwaka huu wabunge watachapana ngumi.
Lengo lao ilikuwa kumtoa Sita, na walifanikiwa. Haya mengine kwao sio muhimu so long as they have the numbers in the Parliament. Kwa CCM kuwa competent ni kosa kubwa, hutakiwi. Kinachotakiwa ni ujanjaujanja, kupindisha na kufunika mambo, and to them this mama is doing the best job and she will emerge as the best speaker ever. Inabidi muelewe kuwa mbingu yenu na ya ile ya CCM ni vitu viwili tofauti kabisa. Mnapodhania kwamba ni blunder kwao ndio the best performance. Kalaghabao!
Namnukuu Raisi akisema kwamba Gongolamboto ndo ilikuwa stoo yao kubwa ya silaha.
asilimia 90 ya wateule wa jk ndo walivyo hufikiri baada ya kutendo!!
Pole sana!!! Unaonekana uko usingizini amka, Hata Mubaraq alijua hakuna wa kumuondoa, na CCM itaondolewa tu na watanzania na CDM ndio aliye na nafasi kubwa kufanya hayo.Una uhakika? Tanzania hakuna chama cha kukiondoa CCM madarakani
Wengi tunafahamu jinsi mchakato wa kumpata mgombea uspika wa Bunge kupitia CCM ulivyokwenda, ndani ya Chama cha mapinduzi kulijitokeza baadhi ya viongozi kuuponda uongozi wa Bunge uliopita kwamba ulikuwa mbovu na ulikuwa unakipeleka chama kusiko, mtakumbuka pia sababu alizotoa Andrew Chenge kwanini alilazimika kujiingiza katika mchakato wa kutaka kugombea nafasi hiyo nyeti, kwa kumbukumbu zangu Andrew Chenge aliulaumu uongozi wa Sita kwamba haukua mzuri ndiyo ulioibua migongano mingi iliyopo ndani ya CCM na kupelekea wananchi kupunguza imani yao na CCM.
Sasa swali ninalo jiuliza kwasasa ni je huyu mwanamama Anna Makinda atatimiza ndoto za chama chake au ndo atakishushia hadhi yake kabisa? Huyu mwanamama alipitishwa na chama chake kwa kigezo kwamba kwasasa wanahitaji kutoa kipaumbele kwa mwanamke na sina uhakika sana kama walizingatia uwezo wa mtu. Nasema hivyo kwani nimegundua ni mapema sana huyu mama ameanza kufanya vitu nisivyokuwa ninavitegemea.
- Ikumbukwe hapa majuzi Freeman Mbowe alipomwomba Waziri Ngeleja aliambie Bunge pamoja na Watanzania wote, ni lini hasa mgawo wa umeme utakwisha na atoe tamko la Serikali kuhusu tatizo hilo, wakati Ngeleja akisimama kutaka kujieleza baada ya swali hilo, Bila kujua nini Ngeleja angeweza kuongea, Makinda akaingilia kati na kumzuia asijibu hilo swali, alimtaka Ngeleja kutafuta muda muafaka wa kujibu swali hilo akisema kuwa halitakiwi kujibiwa kwa haraka kutokana na kugusa zaidi masilahi ya Taifa. Kwa tafsiri yangu ni kwamba Makinda hamuamini Ngeleja na hivyo aliamini angeweza kutoa tamko la serikali kwa kukurupuka na bila kulishirikisha baraza la mawaziri, kitendo cha kutokumuamini waziri Ngeleja ni tusi kubwa kwa aliyemteua yaani Kikwete.
- Achilia mbali uamuzi wake wa juzi kuhusiana na yeye kutaka uthibitisho kutoka kwa Godbles Lema dhidi ya Waziri mkuu ili ifahamike kama waziri mkuu ni muongo au lah kwa mtazamo wangu hapa bila yeye kujua atamdhalilisha sana Waziri mkuu pindi ikithibitika kwamba amelidanganya bunge na sijui atachukuliwa hatua gani. Mimi sifahamu .
Kwa dalili ninazoziona mimi nahisi CCM inaweza kudhalilika sana kipindi hiki kupitia spika Makinda
Acha ulimbukeni wewe...Tukiamua tunaweza...wizi ndo unaowafanya wasitoke madarakani...hiyo sisiem haina jipya
Yaani hakuna mahali pagumu pa kuishi kama TZ, Elimu haina thamani tena, kila kitu ni Siasa tu, muacheni mama makinda aseme anachosema, na afanye anachofanya, kwani hata yeye anajua ameingia pale aliko si kwakua ana vigezo bali ni baada ya kufanywa zengwe la kumuondoa S. Sitta, sasa kwanini asitende kadiri ya anavyo ona CCM inalindwa? km Ngeleja angeharibu??? yupo pale kulinda maslai ya CCM kama ambavyo amepewa kile kiti, afanye kama SItta aone??? we???