Makinda kamtukana Jk na atamdhalilisha Pinda!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makinda kamtukana Jk na atamdhalilisha Pinda!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mvaa Tai, Feb 18, 2011.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  [FONT=&quot]Wengi tunafahamu jinsi mchakato wa kumpata mgombea uspika wa Bunge kupitia CCM ulivyokwenda, ndani ya Chama cha mapinduzi kulijitokeza baadhi ya viongozi kuuponda uongozi wa Bunge uliopita kwamba ulikuwa mbovu na ulikuwa unakipeleka chama kusiko, mtakumbuka pia sababu alizotoa Andrew Chenge kwanini alilazimika kujiingiza katika mchakato wa kutaka kugombea nafasi hiyo nyeti, kwa kumbukumbu zangu Andrew Chenge aliulaumu uongozi wa Sita kwamba haukua mzuri ndiyo ulioibua migongano mingi iliyopo ndani ya CCM na kupelekea wananchi kupunguza imani yao na CCM. [/FONT]

  [FONT=&quot]Sasa swali ninalo jiuliza kwasasa ni je huyu mwanamama Anna Makinda atatimiza ndoto za chama chake au ndo atakishushia hadhi yake kabisa? Huyu mwanamama alipitishwa na chama chake kwa kigezo kwamba kwasasa wanahitaji kutoa kipaumbele kwa mwanamke na sina uhakika sana kama walizingatia uwezo wa mtu. Nasema hivyo kwani nimegundua ni mapema sana huyu mama ameanza kufanya vitu nisivyokuwa ninavitegemea. [/FONT]

  1. [FONT=&quot]Ikumbukwe hapa majuzi Freeman Mbowe alipomwomba Waziri Ngeleja aliambie Bunge pamoja na Watanzania wote, ni lini hasa mgawo wa umeme utakwisha na atoe tamko la Serikali kuhusu tatizo hilo, wakati Ngeleja akisimama kutaka kujieleza baada ya swali hilo, Bila kujua nini Ngeleja angeweza kuongea, Makinda akaingilia kati na kumzuia asijibu hilo swali, alimtaka Ngeleja kutafuta muda muafaka wa kujibu swali hilo akisema kuwa halitakiwi kujibiwa kwa haraka kutokana na kugusa zaidi masilahi ya Taifa. Kwa tafsiri yangu ni kwamba Makinda hamuamini Ngeleja na hivyo aliamini angeweza kutoa tamko la serikali kwa kukurupuka na bila kulishirikisha baraza la mawaziri, kitendo cha kutokumuamini waziri Ngeleja ni tusi kubwa kwa aliyemteua yaani Kikwete.[/FONT]
  2. [FONT=&quot]Achilia mbali uamuzi wake wa juzi kuhusiana na yeye kutaka uthibitisho kutoka kwa Godbles Lema dhidi ya Waziri mkuu ili ifahamike kama waziri mkuu ni muongo au lah kwa mtazamo wangu hapa bila yeye kujua atamdhalilisha sana Waziri mkuu pindi ikithibitika kwamba amelidanganya bunge na sijui atachukuliwa hatua gani. Mimi sifahamu .[/FONT]
  [FONT=&quot]Kwa dalili ninazoziona mimi nahisi CCM inaweza kudhalilika sana kipindi hiki kupitia spika Makinda[/FONT]
   
 2. W

  WildCard JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  CCM kwenyewe yupo Makamba na Tambwe, Bungeni yupo Anna Makinda, Serikalini yupo JK mwenyewe. Wapinzani kwa miaka hii mitano washindwe tu wenyewe.
   
 3. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa uchaguzi ujao kama utafanyika kwa kuhesabu vizuri kura, hapa hakuna mjadala
   
 4. Mwana CCM.

  Mwana CCM. Member

  #4
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Una uhakika? Tanzania hakuna chama cha kukiondoa CCM madarakani
   
 5. Mtoto mzuri

  Mtoto mzuri Member

  #5
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha ulimbukeni wewe...Tukiamua tunaweza...wizi ndo unaowafanya wasitoke madarakani...hiyo sisiem haina jipya
   
 6. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huwa hatuhesabu kura tunatimiza wajibu. kabla ya uchaguzi mshindi anajulikana. Soma ripoti ya EU
   
 7. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  safi natamani angekuwa na msimamo
   
 8. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Endelea kuwa na mawazo mgando ndugu... Nani alijua kuna siku jiji la Ng'wanza (Mwanza) kuna siku litakuwa mikononi mwa vyama vya upinzani siku moja, tena ubunge, umeya na udiwani. Endelea kuota tu ndoto.

  Ingekuwa CCM wanafanya juhudi za kutoondolewa hoja yako ingekuwa na mantiki, lakini ndo wanazidi kujichimbia kaburi kwa kuwa na watu kama Makinda, Makamba na Mkwere... Mbaya zaidi wanashindwa hata kuhifadhi mabomu katika kambi za jeshi yanabakia kuua wananchi, je chama cha wajinga namna hii kitabakia madarakani milele??

  Watu wamepigwa mabomu badala rais kuwajibisha watu anaenda anachekacheka na kuwaambia wasisikilize radio mbao badala ya kuwajibisha watu kwa uzembe... Siku zenu zinahesabika wauaji wakubwa nyie... Eti Lowasa naye anaenda kuwafariji wafiwa na majeruhi wakati wizi wake umesababisha hospitali nyingi kutokuwa na dawa za kutibu vidonda, kisa ccm mmempa mamlaka kusimamia ulinzi na usalama wa nchi hii...

  Maajabu ya mwaka na hiki chama cha mafisadi na majizi.
   
 9. Panga la Yesu

  Panga la Yesu JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umepitwa na wakati wewe!!!!!!!!!!!
   
 10. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Chondechonde watanzania Hebu muoneeni huruma mama makimba inaonyesha hata makimba haiamini serikali ya Kifisadi ya Kikwete ndio maana Mawaziri wakiulizwa maswali na wapinzani anawatetea akijua kuwa uwezo wao ni mdogo wa kujibu maswali kumbe hata yeye Makimba uwezo wake wa kuelewa ni mdogo kama fisadi Kikwete. Kazi Kwelikweli Bunge la safari hii :coffee:
   
 11. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Acha tu amtukane JK na amdhalilishe Pinda,sioni wanachofanya.jana yenyewe JK na Pinda wametofautiana matamko....serikali gani sasa?
  Kuhusu Ngeleja,acha amsaidie kashapoteza muelekeo na imani kwa kila mtu hata CCM wabunge wenzie,wanamuona katuni fulani imekariri majibu yasiyo ya kweli,nafikiri kiaina alimsaidia!!!

  Viongozi wa CCM wanajidhalilisha wenyewe si Makinda kuwadhalilisha!!
   
 12. T

  Tata JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kuwa CCM haitaondolewa na chama chochote kingine cha kisiasa. Ila wananchi wakiamua kikuondoa hakutakuwa na wa kukinusuru. Kosa kubwa wanalofanya CCM ni kudhani kuwa adui wao mkubwa ni vyama vya upinzani. Kumbe adui mkubwa wa CCM ni CCM yenyewe.
   
 13. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  CCM ni chama cha waganga njaa na ufisadi:laugh:
   
 14. T

  Tata JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Masahihisho kidogo Mzalendo. Ni Mama MAKINDA na siyo MAKIMBA kama ulivyoandika na kurudia mara kadhaa. Makimba kwa lugha ninayo ifahamu, japo sijui kama ni rasmi, yana maana isiyo nzuri sana.
   
 15. M

  MkuuMtarajiwa Member

  #15
  Feb 18, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .......Kwa dalili ninazoziona mimi nahisi CCM inaweza kudhalilika sana kipindi hiki kupitia spika Makinda

  Nimenukuu mstari huo hapo juu, Mimi nasema CCM haijaanza leo kudhalilika na kila siku inadhalilika, ila naona wametengeneza mazingira ya kudhalilisha UWEZO wa MWANAMKE zaidi kipindi hiki kwa kumpa huyo mama uspika.   
 16. T

  TIBANYENDERA Member

  #16
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anna makinda leo ktk bunge katupilia mbali madai ya TUNDU LISSU ya kutaka kanuni fulani ivunjwe ili kuruhusu bunge lijadili suala lililotokea Gongo la Mboto. Lakini kwa mshangao mkubwa mheshimiwa Spika wa bunge letu ametupilia mbali madai hayo akisema suala la gongo la mboto halina maslahi ya taifa. hii imeonesha waziwazi kuwa spika analinda maslahi ya Chama chake. Je hali hii itatupeleka popote?
   
 17. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Je Dowans na katiba pia hayana maslai ya Taifa? Huyu mama nashauri atafutiwe bwana ili akili zake zikae sawa
   
 18. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Hawa wengine waliulizwa
  CCM itoke madarakani au wale majani kama mbuzi wakajibu bora wale majani kama mbuzi sasa hata tukimwambia CCM itatoka haamini bt wait uone 2015
   
 19. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #19
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kwani unamuonaje huyu mama akili zake, zipo kama mavi ndio maana anaitwa Mama Makimba ana akili za mavi:roll:
   
 20. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #20
  Feb 18, 2011
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  una akili lakini haina maarifa,
  una akili yenye maarifa,
  lakini haina hekima, ama una upofu wa fahamu zako
   
Loading...