Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makinda ana cha kujivunia ktk bunge hili?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by blessings, Jul 17, 2012.

 1. b

  blessings JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 3,316
  Likes Received: 1,092
  Trophy Points: 280
  Wadau je Mhe. Makinda ana cha kujivunia kuwa ni jitihada zake/bila yeye kisingetokea katika Bunge hili? najaribu kumuangalia Makinda huku nikijaribu kutafakari je ni kiongozi anayeheshimika ndani ya Bunge,Tanzania au nje ya Mipaka ya Tanzania? Je Spika huyu anaweza kupewa mwaliko na Taasisi za Kimataifa/Universities kwenda kutoa muhadhara wa mafanikio yaliyotokana na uongozi wake? tunaweza kumlinganisha Makinda na Ellen Johson Sirleaf wa Liberia kwa upeo (si kwa cheo)?
   
 2. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,769
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  umetumbukiza siko...:israel::sleepy:
   
 3. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Makinda huyu anayemchagulia Vicent Nyerere kurasa za kusoma kwenye hotuba ya upinzani!
   
 4. s

  samvande2002 JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 407
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  ha ha ha ha ha
   
 5. W

  Wajad JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 657
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Nadhani anachoweza kujivunia ni udikteta kwa maslahi ya magamba kama alivyokuwa yule aliyekuwepo kabla ya mh. Six
   
 6. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 6,984
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  anajivunia kuwasainisha wabunge daftari la mahudhurio mara 2 kwa siku kupunguza utoro.
   
 7. MDAU JR

  MDAU JR JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 392
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Neema, saidia kutumbukiza penyewe basiii!
   
 8. MDAU JR

  MDAU JR JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 392
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yap, atajivunia kutekeleza kazi aliyoagizwa na CHAMA kuifanya.
   
 9. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 6,968
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Yes; mawili makubwa

  (1) Spika wa kwanza mwanamke
  (2) Spika pekee aliyekuwa hajui majukumu yake.
   
Loading...