makinda alilipotosha bunge "kama habari redioni ni taarifa rasmi ya tume ya uchaguzi"


jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
21,527
Likes
16,321
Points
280
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
21,527 16,321 280
alipogoma hali ya mtwara isijadiliwe bungeni kwa kauli kuwa hawawezi kutumia habari za vyombo vya habari kama taarifa rasmi.

ccm inaharibu totaly every good thing in my beloved land TANGANYIKA.

Nasubiri sarakasi za akina Lukuvi na mkuchika + wasirra
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
15,361
Likes
6,390
Points
280
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
15,361 6,390 280
LUKA 5: 31


Yesu akajibu akawaambia,wenye afya hawana
haja na tabibu,isipokuwa walio hawawezi.


Nchi hii inaumwa sana na inatakiwa tiba
japo ukweli unaposemwa huwa daima
unageuzwa Siasa kwa maslahi ya walio
wachache.


Suala la Gesi kila uchao Serikali imekuwa
na kigugumizi kusikiliza Wananchi.
mwisho utakuwa mbaya sana jamani.
 
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
21,527
Likes
16,321
Points
280
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
21,527 16,321 280
LUKA 5: 31


Yesu akajibu akawaambia,wenye afya hawana
haja na tabibu,isipokuwa walio hawawezi.


Nchi hii inaumwa sana na inatakiwa tiba
japo ukweli unaposemwa huwa daima
unageuzwa Siasa kwa maslahi ya walio
wachache.


Suala la Gesi kila uchao Serikali imekuwa
na kigugumizi kusikiliza Wananchi.
mwisho utakuwa mbaya sana jamani.

Kennedy hatari inaongezeka zaidi pale tunapoona mialiko ya mataifa makubwa ikishamiri, wachina tunao, wamarekani wapo bila kusahau wajerumani.

mbaya zaidi ni kuwa vikundi vya wana ccm wanaowavamia wananchi na kuwapiga vinaanzisha na kujenga fikra mbadala wa kujipizia visasi,

mfano halisi ni ANNA ABDALA Alipochomewa nyumba yake masasi alisema hajui sababu za hasira ya wakazi wa masasi dhidi yake na mali zake.

wanaccm wajiandae wimbi la retaliation litakapoanza.
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,273,106
Members 490,295
Posts 30,471,571