Makinda alegea kwa Lissu kuridhia hoja ya kutokuwa na Imani Waziri Mkuu

Kwani hujui MD25?

Kama huji kaa kimya kaka usilazimike kuchangia hakuana amri ya polisi eti ni lazima kuchangia usipochangia utakamatwa au kushitakiwa siyo hivyo kabisa, tunatakiwa kuwapinga watu bila kuingilia utawala na mambo yao binafsi.

Kama mjinga mmoja alisema eti Mbunge fulani asichaguliwe kwa sababu hana mke SWALI: Mke wa mbunge au mume anakusaidia nini wewe mwananchi? Mayai ya huyo mtu yana faida gani kwako wewe na watanzania kwa ujumla? Elewa kuwa hakuna chuo wala shule ya ustaraarabu jiheshim tu kaka na usitumie lugha kali ambayo hata mama yako akisoma kwa hakika atasikitika japokuwa unatumia pen name, hatuendi hivyo JF inasomwa na watu wa rika zote kutumia lugha kama hizo wote tunaoingia humu tunaonekana wahuni.

Hata hivyo mada yenyewe ilihusu maslahi ya umma wewe ukaingiza masuala bianafsi sijui ulielewa mada au ulikuwa una maana gani!!!!!??????

Lugha za aina hii ndizo zinazotuharibia lafudhi ya JF. Falsafa ya wastaarabu ni kujadili hoja si kumjadili mtu. Inapotokea kumjadili mtu basi tujikite katika hoja ya msingi si kuingilia mambo binafsi ni kujidhalilisha na kumshalilisha mtu ambalo ni kosa la jinai.
 
Open Group mpya imefunguliwa facebook kwa jina la Ukombozi Tanzania. Unaruhusiwa kujoin pamoja na kuinvite watu mbalimbali kwenye group. Aim ni kuwa na kila mtanzania anayetumia mtandao wa internet awe kwenye hili group tayari kupashana habari pamoja na Kuikomboa nchi yetu. Ndio kwanza tumeanza kuchukua hatua sio kila siku maneno.. Jiunge na hiyo group sasa na unganisha na wenzako.

Ukombozi Tanzania Admin

:target:Wana JF na watanzania wote mwenye macho haambiwi Tazama, wakati wa mfalme Bershaza umefika hii ndiyo MENE MENE TEKERE NA PERIS. Huu ndiyo ukweli, hata vijijini mambo yamekuwa magumu kweli katika kugombea nafasi za chama watu wanaojistahi wamekataa kugombea mpaka watu wanabembelezwa, nimepata taarifa kutoka kijiji changu cha Makunda na vijiji vya jirani Kyengege na Mugundu. Tusubiri tujionee mambo
 
Dawa ya Makinda ni Tundu Lissu!
Aisee Lissu amemwambia Spika eti it was immature kwa spika kuikataa hoja ambayo haijaletwa mezani rasmi. Huyu Kamanda anatoa maneno makali kweli nahisi yamefika mpaka Brazil ndo maana Balozi Sefue katumwa Dodoma fasta. Jana alisema eti serikali hii ni ya kidokozi.. Ngoja Nassari naye akomae kidogo nadhani bunge la bajeti tutamsikia anavyomkimbiza spika. My take: Kuongoza bunge nowadays ni kugumu kuliko kukaa magogoni na kuiongoza Tanzania
 
Tumia lugh nzuri kidogo; kudai kuwa mama kama yule eti amelegea kwa Lisu siyo vizuri. Sema akubaliana na hoja ya lisu.
 
Waandishi wa habari Tanzania huwa wanachemsha mno!
Spika hakukataa hoja ya Zitto.Alielezea practicability ya hoja kwenye kikao hiki cha bunge.
Mpaka bunge lilipoahirishwa jana, kulikuwa hakuna hoja iliyowasilishwa. Tundu Lissu na Mnyika ni wabunge ambao mara nyingi hutafsiri sheria vibaya, sijui kwanini.
Hakuna signatures 72, zipo 62 (updated to 66) mpaka wabunge wa CUF ambao wameandikiwa waraka na kiongozi wao wa kutia sahihi, watie sahihi. Hapo ndio hoja itapelekwa bungeni Jumatatu kuwa discussed kweny kikao cha bajeti.
Kichwa cha habari, kama vilivyo vichwa vya habari vingine vinapotosha hali halisi, au maana halisi ya mjadala.
Tofautisheni kati ya hoja na Mwongozo!
 
kazi ipo mpaka kieleweke ifike mahali mtu asitamani kuwa waziri na sio kujipendekeza na kutoa rushwa ili tu apate uwaziri
 
Waandishi wa habari Tanzania huwa wanachemsha mno!
Spika hakukataa hoja ya Zitto.Alielezea practicability ya hoja kwenye kikao hiki cha bunge.
Mpaka bunge lilipoahirishwa jana, kulikuwa hakuna hoja iliyowasilishwa. Tundu Lissu na Mnyika ni wabunge ambao mara nyingi hutafsiri sheria vibaya, sijui kwanini.
Hakuna signatures 72, zipo 62 (updated to 66) mpaka wabunge wa CUF ambao wameandikiwa waraka na kiongozi wao wa kutia sahihi, watie sahihi. Hapo ndio hoja itapelekwa bungeni Jumatatu kuwa discussed kweny kikao cha bajeti.
Kichwa cha habari, kama vilivyo vichwa vya habari vingine vinapotosha hali halisi, au maana halisi ya mjadala.
Tofautisheni kati ya hoja na Mwongozo!

fuatilia huu mchakato na maelezo ya Lissu na Mnyika vyema. Utaelewa what they meant. Ukichangia jitahidi kuwa mwangalifu kwani wate wengi huku jf ni waelewa wa mambo? Za cnd?
 
fuatilia huu mchakato na maelezo ya Lissu na Mnyika vyema. Utaelewa what they meant. Ukichangia jitahidi kuwa mwangalifu kwani wate wengi huku jf ni waelewa wa mambo? Za cnd?
Nimefuatilia mkuu!!
CND is off tha chain!!!, karibu.
 
Mbinu ya magamba_usanii! ni kumwongezea lema na slaa mafuta ktk chopa ndo dawa yao..mimi mtaa wangu hakuna ccm wala balozi wao,nimesafisha yote,huwa naisikia ccm via Tbc tu,cjui ipo tena..

Hongera sana kwa kazi nzuri.
 
Aisee Lissu amemwambia Spika eti it was immature kwa spika kuikataa hoja ambayo haijaletwa mezani rasmi. Huyu Kamanda anatoa maneno makali kweli nahisi yamefika mpaka Brazil ndo maana Balozi Sefue katumwa Dodoma fasta. Jana alisema eti serikali hii ni ya kidokozi.. Ngoja Nassari naye akomae kidogo nadhani bunge la bajeti tutamsikia anavyomkimbiza spika. My take: Kuongoza bunge nowadays ni kugumu kuliko kukaa magogoni na kuiongoza Tanzania

alisema PREMATURE siyo IMMATURE
 
Kiroboto aliniacha hoi na ka english

''is crystal clear is what am saying" what is collution?

Anahitaji english course huyu bibi
 
Tundu Lisu aliomba mwongozo huo kabla ya kuahirishwa bunge siku ya leo, na Makinda ndio akatoa utetezi wa kwamba hakukataa hoja hiyo, ila alidai kadiri ya ratiba ya bunge haiwezekani kujadiliwa Jumatatu ila katika kikao kijacho. Kwa hiyo ameridhia hoja iletwe Jumatatu.

taarifa yako inajikoroga mkuu, mara kakubali na hoja itawasilishwa bungeni, ooho mara itajadiliwa kikao kijacho. tushike lipi Candic?

Nilichokiona na kukishudia jana jioni, ni makinda kukataa na kusema wazi hakubaliani na mchakato huo kwa kuwa haujakidhi baadhi ya kanuni, na kwamba inatakiwa iandikwe barua kwa spika si chini ya siku kumi na nne, ndo hoja itakubalika na kusomwa kwa mjadala.

hivyop aliwaambia wajiandae na kikao kijacho
 
Eti gaspar laswai,iv we c mchaga wewe..ila c kosa lako warombo ndo mlivyo majinga ya mwisho kilimanjaro,mtoto wa kiume hasifiwa kuvaa ***** wewe..hapa ni harakat tu.
 
Hii mibunge hata kuvaa haijui? shati na tai za disco. Suti ya kuchezea lawn bowling ndio anatinga navyo bungeni? Poleni sana. Halafu anajiona wa maana!

Wapi huko wanavaa tai disco?..au unakua umutokea harusini au ofisini?..na suti ya lawn bowling ndo ipi?..inaelekea ww ni designer au model
 
Wanaovaa vizuri wamelisaidia nini taifa. Akili zako ni za kitoto sana, muhimu ni kuvaa vaa la heshimu hayo mambo ya kupangilia sisi wengine hayatusu. Muhimu kwetu utendaji wa mtu. Km basi kuvaa vizuri ndo kipimo, toka 2005 hadi leo tungekuwa first world country.
 
Back
Top Bottom