Makinda ainuwa Mikono kwa Tundu Lisu - TBC Live

Kwa mara ya kwanza nimemuona Spika wa bunge Makinda akimkubali Lisu kama mwanasheria wa ukweli ni baada ya Lisu kuinuka kutaja vifungu vya sheria na katiba juu ya kazi za jeshi la wananchi na siyo kupewa amri ya kwenda kuuwa watu ndani ya nchi yao kwenye maeneo ya Wafugaji ''Leo nimekukubali umeongea sheria tupu wewe ni mwanasheria''

Pia Lisu aliwataka Pinda, mwanasheria mkuu wa serikali, mawziri na watumishi wa serikali kuanchia ngazi kama alivyowajibika Alihasan mwinyi na wenzake miaka ya 70s baada ya kwenda kuuwa watu kwenye operesheni maalum eti kuwasaka wachawi.,

Bungeni Live,
Spika kama siku zote angekuwa hivi mbona mambo yangeenda
 
lisu sio mchezo bana the man is very genious hata kama hawatamkubali wataipenda kimya kimya
 
Lissu ni jembe na hakuna asyempenda kiukwel.

Ag anamjua vizuri pamoja na Nchimbi.
 
Hivi ingelikuwaje kama hii operesheni ingeendelea hata kwa siku saba tu,ingelikuwaje? kwa watu kulazimishwa kuzini na wakwe zao? mtu afanye mapenzi na mti kweli? hivi tofauti ya utawala wa Idd Amini na huu ni nini hasa?

Namshukuru Lissu kasema Mkuu wa majeshi,kamanda mkuu wa operesheni,wajeshi waliousika,waziri wa sheria na mwanasheria mkuu wamevunja katiba hivyo wawajibike wote kwa makosa ya jinai kwani jeshi haliruhusiwi katika operesheni za hivi unless Rais amedeclare State of Emergrncy

Heko T.Lissu.
Wanajeshi wengi ni wale wenye elimu ya kuungaunga hawana maamuzi sahihi kisa wanaogopa kufukuzwa kazi. Wakitumwa kufanya kitu hawana jajiment binafsi. Nchi imekwisha hatuna kitu. Most of them are the failure's
 
Lissu ni level Nyingine...
Mbayuwayu alienda mbali na kutamani hata urais uende kwa Dr. Slaa, lakini Lissu asiwe mbunge
Chezea Antipas wewe,CV yake inajieleza yenyewe bila kuongezea sifa anazomwagiwa na wale aliosoma nao,kwa jinsi alivyokuwa anapasua mawimbi.
Big up kamanda Lissu.
 
Actually lisu n mtu mwenye feeligs za dhati za kiuzalendo,interlectual by nature n mtu wa kawaida hautaweza kumsoma kirahisi.chadema wl ever never com down mijamaa n noma mbaya aise acha! Damu inayomwagika inarutubisha mti wa uhuru halisi uliokaribia 2015,mizimu ya mababu yamebumburuka.
 
Kila mwenye ufinyu wa uelewa muda wote atamuona lissu kichaa. Lakini nakwambia tukiwapata wabunge wengine japo 2 tu kama lissu tanzania ingeendelea sana. Hongera lissu. Tatizo la mwanasheria na mtu mwingine ni moja tu lissu kama mwanasheria anakwenda na misingi ambayo kama nchi lazima tuilinde. Tangu lini jeshi likahusika ktk operations za ndani na polisi wafanye nini? Jeshi si chombo cha kufanywa mgambo. Kaka lissu big up kamanda
 
Tundu Lissu ni zaidi ya mwanasheria huyu jamaa ana kipawa cha sheria tungekuwa na wanasheria 10 tu kwa Tanzania basi nchi ingekuwa mbali sana.Big up Tunndu Lissu jembe hazina ya Chadema na nchi kwa ujumla
 
Naunga mkono hoja mheshimiewa, yaani hawa watu tunaoamin kuwa ni wana usalama ndio vilaza kweli kweli, na kinacho wasumbua si kingine bali ni njaa, kwan si tuko nao huku kitaa! We askar anaomba tushwa mpaka ya buku sembuse ije kuwa hayo mamilion ya wakulima? Na sio km wakubwa wao hawajui, wanajua sn ila kwa sababu lao moja ndio maana wanawakaushia tu, hii nchi ndugu yangu viongozi wite tuliowapa dhamana imewashinda sasa sijui tufanyeje, na hii yote ukiangalia inasababishwa na sisi wenyewe kwan watanzania sisi ni vilaza sn hivyo tusipoangalia tutakuwa na wakati mgum sn huko mbelen
 
Huyo bi mkubwa nae anaboa sn, ye huwa anapenda sn kuleta udikteta bungen, km hv leo, mtu kayoa muongozo vzr tu juu ya wale mawadhili wenye dhamana kutokuwepo pale bungen, matokeo yake kaupotezea ule muongozo na kuangalia mambo mengine, sasa cjui maswali ya wale angeyajibu yeye"
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom