Kirode
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 3,566
- 82
Lissu ni mkali wa sheria lakini kwenye chadema kachemka kwa kukubali kutumiwa
so unataka aje ccm. chama chakavu au????
Lissu ni mkali wa sheria lakini kwenye chadema kachemka kwa kukubali kutumiwa
Hakuna kitu ni kuropoka tu
Tundu Lissu ni mropokaji wa kawaida tu...
Spika kama siku zote angekuwa hivi mbona mambo yangeendaKwa mara ya kwanza nimemuona Spika wa bunge Makinda akimkubali Lisu kama mwanasheria wa ukweli ni baada ya Lisu kuinuka kutaja vifungu vya sheria na katiba juu ya kazi za jeshi la wananchi na siyo kupewa amri ya kwenda kuuwa watu ndani ya nchi yao kwenye maeneo ya Wafugaji ''Leo nimekukubali umeongea sheria tupu wewe ni mwanasheria''
Pia Lisu aliwataka Pinda, mwanasheria mkuu wa serikali, mawziri na watumishi wa serikali kuanchia ngazi kama alivyowajibika Alihasan mwinyi na wenzake miaka ya 70s baada ya kwenda kuuwa watu kwenye operesheni maalum eti kuwasaka wachawi.,
Bungeni Live,
what would you say ha ha Lumumba book 7 fun clubHyo ya lisu ilikuwa hoja nyepes sana na
Mwanashria mkuu alijibu kirahs tu kwa mujb wa sheria
Wanajeshi wengi ni wale wenye elimu ya kuungaunga hawana maamuzi sahihi kisa wanaogopa kufukuzwa kazi. Wakitumwa kufanya kitu hawana jajiment binafsi. Nchi imekwisha hatuna kitu. Most of them are the failure'sHivi ingelikuwaje kama hii operesheni ingeendelea hata kwa siku saba tu,ingelikuwaje? kwa watu kulazimishwa kuzini na wakwe zao? mtu afanye mapenzi na mti kweli? hivi tofauti ya utawala wa Idd Amini na huu ni nini hasa?
Namshukuru Lissu kasema Mkuu wa majeshi,kamanda mkuu wa operesheni,wajeshi waliousika,waziri wa sheria na mwanasheria mkuu wamevunja katiba hivyo wawajibike wote kwa makosa ya jinai kwani jeshi haliruhusiwi katika operesheni za hivi unless Rais amedeclare State of Emergrncy
Heko T.Lissu.
Mbayuwayu alienda mbali na kutamani hata urais uende kwa Dr. Slaa, lakini Lissu asiwe mbungeLissu ni level Nyingine...
huyo lisu kafanya nini cha maana sasa mimi nimeona anapiga kelele tu.
Upeo wako ni chini ya MB 1