Makinda ainuwa Mikono kwa Tundu Lisu - TBC Live

Lissu ni mkali wa sheria lakini kwenye chadema kachemka kwa kukubali kutumiwa
 
huyo lisu kafanya nini cha maana sasa mimi nimeona anapiga kelele tu.

Utakuwa na mtindio wa ubongo wewe.... sasa unahitajika umtafute mh. lisu ili akuoneshe alichokifanya ikiwa hadi sasa hujaona....
 
Mkuu leo ni mara ya pili Werema anamkiubali Lissu na within this very same week . Lissu wanamjua sema ni dharau tu ila ukweli ndiyo huo.Nchimbi kwisha kabisa kazi yake .Mawaziri wanatakiwa wapitishwe na Bunge wawe very drilled hadi mwisho .Mauaji ya Soweto slowly ukweli unakuja maana watu wataendelea kupiga kelele hadi waelewe kuunda Tume ya kimahakama tu .
 
Kwa mara ya kwanza nimemuona Spika wa bunge Makinda akimkubali Lisu kama mwanasheria wa ukweli ni baada ya Lisu kuinuka kutaja vifungu vya sheria na katiba juu ya kazi za jeshi la wananchi na siyo kupewa amri ya kwenda kuuwa watu ndani ya nchi yao kwenye maeneo ya Wafugaji ''Leo nimekukubali umeongea sheria tupu wewe ni mwanasheria''

Pia Lisu aliwataka Pinda, mwanasheria mkuu wa serikali, mawziri na watumishi wa serikali kuanchia ngazi kama alivyowajibika Alihasan mwinyi na wenzake miaka ya 70s baada ya kwenda kuuwa watu kwenye operesheni maalum eti kuwasaka wachawi.,

Bungeni Live,

Tundu jembe, wanaobeza ni siasa zao za kinafiki tu
 
honestly namkubali sana huyu baba mungu amrinde,nijasiri,anaijua sheria tatizo vurugu kwenye chama chake he deserve to be AT
 
huyo lisu kafanya nini cha maana sasa mimi nimeona anapiga kelele tu.

Na huwezi kuona,kaa pembeni kama huna akili unafikiri utamuelewa lissu? Ndo maana walisema wanachama/ wanaounga mkono ccm ni wajinga na maskini,ww ukiwamo
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom