Makinda ainuwa Mikono kwa Tundu Lisu - TBC Live

Kwa mara ya kwanza nimemuona Spika wa bunge Makinda akimkubali Lisu kama mwanasheria wa ukweli ni baada ya Lisu kuinuka kutaja vifungu vya sheria na katiba juu ya kazi za jeshi la wananchi na siyo kupewa amri ya kwenda kuuwa watu ndani ya nchi yao kwenye maeneo ya Wafugaji ''Leo nimekukubali umeongea sheria tupu wewe ni mwanasheria''

Pia Lisu aliwataka Pinda, mwanasheria mkuu wa serikali, mawziri na watumishi wa serikali kuanchia ngazi kama alivyowajibika Alihasan mwinyi na wenzake miaka ya 70s baada ya kwenda kuuwa watu kwenye operesheni maalum eti kuwasaka wachawi.,

Bungeni Live,

Pia AG Werema amekubali kuwa Lisu yuko kamili.
 
Ni ngumu kuamini kama mambo haya yanafanyika TZ!Ukatili huu waliofanyiwa hasa wakina mama ni zaidi ya ukatili wa makaburu kwa wana mama wa South Afrika enzi za ubaguzi wa rangi!

Zitto(MB)kwenye page yake ya facebook kaandika:"Mwananchi mmoja alilazimishwa na Askari kuchora picha ya chatu kwa kutumiwa wembe kwenye paja lake. Vile vile Bi. Neema Moses wa Babati alivuliwa nguo na kulazimishwa afanye mapenzi na wakwe zake na pia kuingizwa chupa sehemu zake za siri"

Kule Mkoani Mara ripoti imesema kuna akina baba walilazimishwa kufanya mapenzi na mizoga yao ya ng'ombe huku maaskari wakiwapiga picha na kucheka!

Serikali ya JK imejiondolea yenyewe haki ya kutawala kikatiba!JK anaongoza serikali dhalimu kulko zote barani Afrika!!
 
Kwa mara ya kwanza nimemuona Spika wa bunge Makinda akimkubali Lisu kama mwanasheria wa ukweli ni baada ya Lisu kuinuka kutaja vifungu vya sheria na katiba juu ya kazi za jeshi la wananchi na siyo kupewa amri ya kwenda kuuwa watu ndani ya nchi yao kwenye maeneo ya Wafugaji ''Leo nimekukubali umeongea sheria tupu wewe ni mwanasheria''

Pia Lisu aliwataka Pinda, mwanasheria mkuu wa serikali, mawziri na watumishi wa serikali kuanchia ngazi kama alivyowajibika Alihasan mwinyi na wenzake miaka ya 70s baada ya kwenda kuuwa watu kwenye operesheni maalum eti kuwasaka wachawi.,

Bungeni Live,

ndiyo huyo lissu vasko dagama alisema bora slaa awe rais kuliko lissu kuwa mbunge. asa bunge likikosa watu kama lissu litakuwa bunge kweli au kichaka cha wavuta sigara------ kama mwigulu!
 
ccm najua hammpend zitto lkn mkubal ni reserve ya wanasheria wazuri Tanzania....nashukuru kwa kuchaguliwa kuwa mwanasheria mkuu wa cdm
 
huyo lisu kafanya nini cha maana sasa mimi nimeona anapiga kelele tu.

Utaelewa kesho we si ni slow learner maccm mna mtindio wa ubongo akili yako ndogo lazima utawaliwe na akili kubwa gifted tumempata sana
 
tanesco amani ni janga kubwa. naangalia bunge mnakata umeme wenu. Ngoja nijaribu koroboi kama kiongozi wetu alivyoshauri.
Kwa nini huyu waziri anayesimamia wizara inayihusu TANESCO asijiuzulu? Huyu ni mzigo mzito sana!
 
Kwa mara ya kwanza nimemuona Spika wa bunge Makinda akimkubali Lisu kama mwanasheria wa ukweli ni baada ya Lisu kuinuka kutaja vifungu vya sheria na katiba juu ya kazi za jeshi la wananchi na siyo kupewa amri ya kwenda kuuwa watu ndani ya nchi yao kwenye maeneo ya Wafugaji ''Leo nimekukubali umeongea sheria tupu wewe ni mwanasheria''

Pia Lisu aliwataka Pinda, mwanasheria mkuu wa serikali, mawziri na watumishi wa serikali kuanchia ngazi kama alivyowajibika Alihasan mwinyi na wenzake miaka ya 70s baada ya kwenda kuuwa watu kwenye operesheni maalum eti kuwasaka wachawi.,

Bungeni Live,
Lissu jembe anafaa kuwa waziri mkuu
 
Kaweka umakini sana! !!!

Hii ni nzuri sababu watu walipata avenue ya kitembea vifua mbele baada ya kusema yale!!!!!

Good job Lissu!!!!
 
Back
Top Bottom