Makinda ainuwa Mikono kwa Tundu Lisu - TBC Live

Thank you Lisu, at last Anna Makinda has understood your capability, and she will never underestimate your ability, and that's another score for CDM and the all public
 
Tatizo la lisu ni jaziba ana mengi ya kujifunza kutoka kwa zitto jinsi ya kuwasilisha hoja.

Naamini zitto ni mlezi wa wabunge wa chadema na wana mengi ya kujifunza kutoka kwake.

Lissu ana paniki sana anapo toa hoja muda mwingine unaweza ukafikiri watu wako vitani.
 
huyo lisu kafanya nini cha maana sasa mimi nimeona anapiga kelele tu.

Kama ulikuwa unasikiliza kwa makini alivyokuwa anachambua Katiba, na bado unaandika comment kama hii, basi nahisi elimu yako haijakusaidia.
 
Kama humkubali Tundu Lissu basi wewe akili yako ni mega bite moja.
 
Macho ya kishabiki huona Yale tusiyoyaona watu wenye akili. Nadhani lisu anaweza kupata wakewengi kama akiamua kutuma posa kwa wote wanaoshoboka
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom