Makinda ainuwa Mikono kwa Tundu Lisu - TBC Live

mrelbattawy

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
564
112
Kwa mara ya kwanza nimemuona Spika wa bunge Makinda akimkubali Lisu kama mwanasheria wa ukweli ni baada ya Lisu kuinuka kutaja vifungu vya sheria na katiba juu ya kazi za jeshi la wananchi na siyo kupewa amri ya kwenda kuuwa watu ndani ya nchi yao kwenye maeneo ya Wafugaji ''Leo nimekukubali umeongea sheria tupu wewe ni mwanasheria''

Pia Lisu aliwataka Pinda, mwanasheria mkuu wa serikali, mawziri na watumishi wa serikali kuanchia ngazi kama alivyowajibika Alihasan mwinyi na wenzake miaka ya 70s baada ya kwenda kuuwa watu kwenye operesheni maalum eti kuwasaka wachawi.,

Bungeni Live,
 
Lissu ni resource kwa nchi
 
huyo lisu kafanya nini cha maana sasa mimi nimeona anapiga kelele tu.
 
Hivi ingelikuwaje kama hii operesheni ingeendelea hata kwa siku saba tu,ingelikuwaje? kwa watu kulazimishwa kuzini na wakwe zao? mtu afanye mapenzi na mti kweli? hivi tofauti ya utawala wa Idd Amini na huu ni nini hasa?

Namshukuru Lissu kasema Mkuu wa majeshi,kamanda mkuu wa operesheni,wajeshi waliousika,waziri wa sheria na mwanasheria mkuu wamevunja katiba hivyo wawajibike wote kwa makosa ya jinai kwani jeshi haliruhusiwi katika operesheni za hivi unless Rais amedeclare State of Emergrncy

Heko T.Lissu.
 
Kwa mara ya kwanza nimemuona Spika wa bunge Makinda akimkubali Lisu kama mwanasheria wa ukweli ni baada ya Lisu kuinuka kutaja vifungu vya sheria na katiba juu ya kazi za jeshi la wananchi na siyo kupewa amri ya kwenda kuuwa watu ndani ya nchi yao kwenye maeneo ya Wafugaji ''Leo nimekukubali umeongea sheria tupu wewe ni mwanasheria''

Pia Lisu aliwataka Pinda, mwanasheria mkuu wa serikali, mawziri na watumishi wa serikali kuanchia ngazi kama alivyowajibika Alihasan mwinyi na wenzake miaka ya 70s baada ya kwenda kuuwa watu kwenye operesheni maalum eti kuwasaka wachawi.,

Bungeni Live,

Lisu na jembe japo kwa Magamba wanamuona kama janga kwa mambo yao yasiyo na tija kwa jamii na Taifa kwa ujumla
 
Back
Top Bottom