mrelbattawy
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 564
- 112
Kwa mara ya kwanza nimemuona Spika wa bunge Makinda akimkubali Lisu kama mwanasheria wa ukweli ni baada ya Lisu kuinuka kutaja vifungu vya sheria na katiba juu ya kazi za jeshi la wananchi na siyo kupewa amri ya kwenda kuuwa watu ndani ya nchi yao kwenye maeneo ya Wafugaji ''Leo nimekukubali umeongea sheria tupu wewe ni mwanasheria''
Pia Lisu aliwataka Pinda, mwanasheria mkuu wa serikali, mawziri na watumishi wa serikali kuanchia ngazi kama alivyowajibika Alihasan mwinyi na wenzake miaka ya 70s baada ya kwenda kuuwa watu kwenye operesheni maalum eti kuwasaka wachawi.,
Bungeni Live,