Makinda ainuwa Mikono kwa Tundu Lisu - TBC Live


M

mgemamkwezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2013
Messages
446
Points
0
M

mgemamkwezi

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2013
446 0
Thank you Lisu, at last Anna Makinda has understood your capability, and she will never underestimate your ability, and that's another score for CDM and the all public
 
Gamaha

Gamaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2008
Messages
2,868
Points
2,000
Gamaha

Gamaha

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2008
2,868 2,000
huyo lisu kafanya nini cha maana sasa mimi nimeona anapiga kelele tu.
Saa nyingine watu kama nyie ni kuwaacha tu, mradi umeingiza buku saba yako basi.
 
N

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Messages
22,502
Points
2,000
N

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2013
22,502 2,000
Lissu ni noma, kama hutamkataa mdomoni, moyoni utamkubali tu!
 
Mlengo wa Kati

Mlengo wa Kati

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2011
Messages
2,732
Points
0
Mlengo wa Kati

Mlengo wa Kati

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2011
2,732 0
Tatizo la Lissu ni uwenda wazimu na ukiachaa mwisho wa mwezi
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,079
Points
2,000
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,079 2,000
Tatizo la lisu ni jaziba ana mengi ya kujifunza kutoka kwa zitto jinsi ya kuwasilisha hoja.

Naamini zitto ni mlezi wa wabunge wa chadema na wana mengi ya kujifunza kutoka kwake.

Lissu ana paniki sana anapo toa hoja muda mwingine unaweza ukafikiri watu wako vitani.
 
Manyi

Manyi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Messages
3,254
Points
1,195
Manyi

Manyi

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2011
3,254 1,195
huyo lisu kafanya nini cha maana sasa mimi nimeona anapiga kelele tu.
Kama ulikuwa unasikiliza kwa makini alivyokuwa anachambua Katiba, na bado unaandika comment kama hii, basi nahisi elimu yako haijakusaidia.
 
Mtamile

Mtamile

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Messages
2,822
Points
1,250
Mtamile

Mtamile

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2011
2,822 1,250
Tundu Lissu akiweza kucontrol jaziba ni hazina kubwa sana kwa taifa
 
Last edited by a moderator:
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
26,233
Points
2,000
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
26,233 2,000
Amechelewa kuinua mikono.Bosi wake Jk alishainua kabla ya Kamanda kuwa mbunge
 
Sir R

Sir R

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Messages
2,176
Points
1,195
Sir R

Sir R

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2009
2,176 1,195
Kama humkubali Tundu Lissu basi wewe akili yako ni mega bite moja.
 
N

notradamme

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
2,012
Points
1,195
N

notradamme

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
2,012 1,195
Macho ya kishabiki huona Yale tusiyoyaona watu wenye akili. Nadhani lisu anaweza kupata wakewengi kama akiamua kutuma posa kwa wote wanaoshoboka
 
nyumba kubwa

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
10,313
Points
2,000
nyumba kubwa

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
10,313 2,000
Wanajeshi tena? Embu tupeni taharifa kamili wengine hatujaipata hii
 

Forum statistics

Threads 1,283,462
Members 493,707
Posts 30,790,444
Top