- Thread starter
- #41
Sephora sijawahi kuwasikia sikuhizi shopping yenyewe ninafanya ninapohitaji vitu. Nitaitafuta
Utawapenda wanauza brand yao na wana hold brand nyingi high end.
Choices ni nyingi hata deals zao pia nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sephora sijawahi kuwasikia sikuhizi shopping yenyewe ninafanya ninapohitaji vitu. Nitaitafuta
😂😂😂😂😂😂😂😂kutoka uk eeMwambie R akakufanyie shopping ya meikap kwanza...lol😂😂
Ndio jomoniiii😂😂😂😂mambo ya ulaya tyuuu😂😂😂😂😂😂😂😂kutoka uk ee
Daaah
Hapa nawaza cha kupaka uso ukae sawa
Sipati majibu
Tafuta hii mask inachanganya na apple cider vinegar unapakaa dakika 15-20 unaosha.
Kwa kuanzia unaweza kupaka 2 times kwa wiki.
Ni natural na ipo nzuri sana.
Me hupendelea kufanya usiku karibia kwenda kulala.
😂😂 Umenikumbusha Bibi BOMBA
Ulivyo muongo mbibi...
Umenikumbusha Bibi BOMBA
Naomba kufaham faida za kupaka make-upKwa wale wenzangu wanaopenda make up tuongelee products ambazo unatumia,tips na routines.
Ni product gani ambayo unapenda sana kuliko zote mfano me napenda bronzer View attachment 1141333View attachment 1141334.
Naomba kufaham faida za kupaka make-up
Foundation :kiss beauty wakati mwingine natumia za sleek
Lipstick :lovetouch or nyx
Powder: BB
Eye brows:kiss beauty
Glowkit: Anastasia Beverly hills
Concealer: pro conc
Brush hata sijui brand yake
Powder: banana powder Ben nye(3&5)
Eye liner :huda
Eye shadow: morphe
Contuer kit: lilian
Bronzer: nyx matte
Sponge :sweet rose
Eyeshadow gani unatumia ya Morphe me natumia ya Jacklyn hill.
Apo kwenye bronzer tunatumia sawa nataka nkajaribu na ya physician formula butter bronzer
Mimi mwenyewe natumia ya Jaclyn hill dear
Bronzer naipenda inanipendeza nikapply kwa uso
Setting spray ya morphe wanasema nzuri sana pia nkimaliza ya nyx ntajaribu yao.