Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,503
- 1,472
Hujanielewa Nadhani,sio kila kozi inayotolewa UDSM ina competition, unaweza ukawa una one HKL lakini Hukuomba kozi mfano inayohusu arts and heritage.wakati huo kuna mwenye division 3 ameaply hiyo,unadhani atakosa? Ndo hapo tunapokataa kuwa sio wote wanaosoma UDSM wana division 1naomba kufahamu kwa uelewa wangu mdogo hv dv 3 point 13 mfano na dv one ya hkl na akachaguliwa kusoma udsm yupi kipanga ...