Makerere University goes top in the region

ByaseL

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
2,225
241
The Monitor

Makerere has overtaken Dar es Salaam to become the highest-ranked university on research publications in East Africa.

The rankings, published under the Webometrics Survey, are based on the visibility of a university on the Internet, the volume of its publications, and the general impact of the information published on its web pages.

In the latest rankings, Makerere is at number 15, up from number 59 two years ago, among the top 100 African universities.

Global improvement
Globally, it is ranked 2,685 among 8,000 universities, up from 3,811 in the previous ranking.

A total of 500 African universities were ranked.
Makerere is the only Ugandan university that is ranked in the 8,000, both on the continent and globally.

All the 14 African universities ahead of Makerere are either in South Africa or in Egypt.

Kazi tunayo wanawane! Sasa ktk hii EAC tunapoteza kila kitu. Kwa muda mrefu sana tulikua tukiringia UDSM sasa tushapigwa bao namna hii. What else do we have?
 
Verry sad!any way ni fundisho tujifunge mikanda sasa na turekebishe makosa then tusonge mbele
 
All the 14 African universities ahead of Makerere are either in South Africa or in Egypt.
kumbe hata UDSM haipo katika hizo 14? mmmh
 
wamewakomesha, hicho ndo chuo ambacho mimi nakichukia kuliko vyote duniani. walinitesa sana kisaikilojia nilipokuwa nasoma hapo miaka ya nyuma. natamani vyuo vingine vya binafsi hapo bongo viipige udsm bao hadi kiwe cha mwisho kabisa hapo tz ili pengine watajirekebisha katika mapungufu yao ambayo ni mengi kuliko vyuo vingine vyote.
 
Ila nasikia kuna baadhi ya maprofesa hawahitajiki tena sababu mkataba wao umeisha. Tutorial assistants ndio replacement.
 
The Monitor

Makerere has overtaken Dar es Salaam to become the highest-ranked university on research publications in East Africa.

The rankings, published under the Webometrics Survey, are based on the visibility of a university on the Internet, the volume of its publications, and the general impact of the information published on its web pages.

In the latest rankings, Makerere is at number 15, up from number 59 two years ago, among the top 100 African universities.

Global improvement
Globally, it is ranked 2,685 among 8,000 universities, up from 3,811 in the previous ranking.

A total of 500 African universities were ranked.
Makerere is the only Ugandan university that is ranked in the 8,000, both on the continent and globally.

All the 14 African universities ahead of Makerere are either in South Africa or in Egypt.

Hizo ranking zenyewe za kisanii tu. Yaani ubora wa chuo unapimwa kwa website?? au impact gani sijui?? Upupu mtupu.
 
Usanii huo huo na Upupu huo huo ndio uliifanya UDSM kuwa kwenye rank ya juu hapo kabla.
Sasa leo hii kusikia tumeburuzwa na waganda ndipo unahamaki??

Wabongo bwana, maneno meeeeeeeengi!
Nyie mmekalia politiki mnategemea nini??
 
Soma vizuri kaka,sio website tu "Makerere has overtaken Dar es Salaam to become the highest-ranked university on research publications in East Africa"
Sasa nje ya research unataka upime chuo kwa kigezo gani hasa? Tusiwe wabishi tu,tukubali kushindwa ili tujirekebishe!
 
Sikuelewi.

Mi naongelea vigezo vya ranking, wee sijui unaongelea topic gani?? E bana Mwita hebu nierese bana.
 
Umakini sifuri. Hivi umeisoma post yangu vyema ukaielewa? Angalia post yangu na post niliyoikwot hususan nilipopagia mstari.
 
Kama hujui topic soma katikati ya mistari.
Halafu usipende ku-quote maneno machache unayoyataka wewe ili ujengee hoja.
Hebu soma paragraphy nzima kwenye bandiko la Byasel utaona vigezo vilivyotumika kufanya ranking.

Hebu ngoja nikurahisishie kazi kidogo, unajua leo ni ijumaa, kichwa imechoka na valentine day ndio hiyooo kwenye kona!!
Makerere has overtaken Dar es Salaam to become the highest-ranked university on research publications in East Africa.

The rankings, published under the Webometrics Survey, are based on the visibility of a university on the Internet, the volume of its publications, and the general impact of the information published on its web pages.
 
Umakini sifuri. Hivi umeisoma post yangu vyema ukaielewa? Angalia post yangu na post niliyoikwot hususan nilipopagia mstari.

Ndio maana nimebold ili usome vyote kwa pamoja usisome sehem moja tu na kuleta argument ya kienyeji. Ulisoma wapi ambako ranking ya chuo wanaangalia website tu? ni pamoja na research publication,ndio maana hua wanasema kwa academicians ni either you "publish" or "perish". Usiargue academic issues kimtaani wewe!
 
Kama hujui topic soma katikati ya mistari.
Halafu usipende ku-quote maneno machache unayoyataka wewe ili ujengee hoja.
Hebu soma paragraphy nzima kwenye bandiko la Byasel utaona vigezo vilivyotumika kufanya ranking.

Hebu ngoja nikurahisishie kazi kidogo, unajua leo ni ijumaa, kichwa imechoka na valentine day ndio hiyooo kwenye kona!!
Makerere has overtaken Dar es Salaam to become the highest-ranked university on research publications in East Africa.

The rankings, published under the Webometrics Survey, are based on the visibility of a university on the Internet, the volume of its publications, and the general impact of the information published on its web pages.

Mazee uliishia darasa la ngapi??
 
Ndio maana nimebold ili usome vyote kwa pamoja usisome sehem moja tu na kuleta argument ya kienyeji. Ulisoma wapi ambako ranking ya chuo wanaangalia website tu? ni pamoja na research publication,ndio maana hua wanasema kwa academicians ni either you "publish" or "perish". Usiargue academic issues kimtaani wewe!

Walewale. Hujui hata unachorespond. Kasome tena post yangu ya kwanza kwenye hii thread.
 
La VII, una swali jingine??

tehe....tehe....tehe.

Now I can sum up matatizo yako yanapoanzia.

Ok, labda nikupe mwanga kidogo wa tuliokipata akina sie tulokubali kuacha kirago usubuhi ili kuwahi namba na kipindi cha kwanza kabisa usubuhi {hisabati}.

Webometrics wanakiri kwamba ni vigumu sana kupata info kwenye vyuo vingi haswa Africa, Asia na kwingineko. Kwa waona kigezo cha website kinapoanzia?? DOES that ring the bell somewhere kwenye akili yako ya Std 7?
 
wamewakomesha, hicho ndo chuo ambacho mimi nakichukia kuliko vyote duniani. walinitesa sana kisaikilojia nilipokuwa nasoma hapo miaka ya nyuma. natamani vyuo vingine vya binafsi hapo bongo viipige udsm bao hadi kiwe cha mwisho kabisa hapo tz ili pengine watajirekebisha katika mapungufu yao ambayo ni mengi kuliko vyuo vingine vyote.
Ndugu, heshima mbele. Ingawaje sijasoma UDSM nina wasiwasi na chuki/hasira yako. Ninaamini ulisoma kwenye idara ambayo ni sehemu ya kitivo fulani cha chuo kikuu cha dar es salaam. Ninapata shaka kutokana na hoja yako kuwa matatizo uliyoyapata ni ya UDSM kwa ujumla. Labda ni matatizo mengine ambayo usingetaka kuyaweka wazi hapa jamvini ili tukubaliane nawe kuwa ni ya UDSM.
 
Me sishangai manake haya maandamano everyday na ngono kila saa kitapanda saa ngapi? Acha kishuke kelele za UDSM UDSM ndo zilikuwa kibao nadhani tutapumua na bado kidogo UDOM, SAUT na Makumira watawatimulia vumbi ingawa najua kwa shule mlimani hakuna kitu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom