Makene turushie majina ya wateule wetu wa ubunge kama ulivyouahidi jana

Reucherau

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
756
1,740
Watu huku wanataka kujua ili waweze kujua wanajipangaje, tumezidiwa hata na chama kichanga kama act washamaliza mchakato? Please fanya hivyo msitukatishe tamaa wanachama wenu.
 
Haya mambo yanapelekea watu wengine katika sehemu za nchi hii kuvunja taratibu za chama, kwa kuanza kujichukulia fomu tena bila utaratibu.
 
Kamanda hali tete Ufipa makamanda hawataki kukatwa.
 
Back
Top Bottom