Nichumu Nibebike JF-Expert Member Aug 28, 2016 8,660 15,744 Dec 9, 2016 #1 Haya makende yanatoka jasho 24/7 kama steam engine. Je ni kwa ajili ya joto au maji yamezidi mwilini?
Haya makende yanatoka jasho 24/7 kama steam engine. Je ni kwa ajili ya joto au maji yamezidi mwilini?
mamaafacebook II JF-Expert Member Aug 16, 2016 2,513 3,533 Dec 10, 2016 #3 Nenda hospital bwana msifanye mizaha Na meneo kama hayo kupata mambo mageni kama hayo