luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Leta document tusome wenyewe usitulishe maneno matupuKwa mujibu wa wizara ya fedha Kilimanjaro Ni mkoa wa 6 kuchangia Pato la taifa (GDP)

Make Kilimanjaro great again serikali za majimbo ziruhusiwe tunacheleweshwa kiuchumi
Hebu imagine kwa wale wa Kilimanjaro tumepambana hadi tumefika mbali bila utegemezi wa serikali na tupo hapa
Huo uchumi wa kati wanaozungumzia tulifika miaka ya 70 huku
Wao wanajenga shule za kata, sijui elimu bure sijui madawati sisi hizo shule zipo miaka 100 sasa yaani ccm bwana
Ni wakati wa sisi kufika uchumi wa level za dubai au majimbo ya marekani huko au Qatar
Naunga mkono uwepo wa serikali za majimbo like Kenya au marekani, sasa uchague upande wa one nation utaifa ambao ni kubaki maskini au kuchagua mfumo wa majimbo ambao unaleta maendeleo ya haraka
Ukomunist umeiharibu nchi yetu sana, ccm imeifanya nchi hii kubaki maskini sana
Kwanza Kilimanjaro na Arusha kabla ya ukoloni yalikua majimbo huru na yenye viongozi,mamlaka na serikali yenye nguvu, tungekua level za Marekani sahivi ni hizi mambo ya utaifa, utanganyika viliturudishwa nyuma japo tupo mbali kwangu naona bado tunahitaji tupambane hadi kuifikia dubai sisi hatuna haja wala hatuhitaji sapoti ya govt maana hawajawahi kutusaidia chochote zaidi ya kuturudisha nyuma tu, na kutubagua
Wakati mwingine nawazaga tugawane tu kila mtu na maisha yake maana mara huyu ajengwe liuwanja kijijini kwake,mara afanye vile huku watu hawana maji, mara wengine wakumbwe na matetemeko rambirambi zichukuliwe wanyimwe zikanunulie sijui mandege mabovu, haya halmashauri pesa zote zinaenda serikali kuu sahv halmashauri hazina pesa halaf hizo pesa hazirudi tena kwa halmashauri zinajenga midaraja tu,mindege na kujenga uwanja kijijini kwake huku watu hawana maji
Ukiwaza haya mambo utaona umuhimu wa serikali za majimbo kuliko ccm

KNCU huioni ama? Kuna vyama vingapi vya ushirika? Kule kahe tu watu wanajenga lami kwa michango yao wenyewe kwa sasa. Acha uongo wako. Mashule yenyewe huyo Nyerere sindo alizitaifisha?Kuna watu wa kuwashukuru
1. Wamisionari waliojenga shule
2. Viongozi wa kisiasa wa mwanzoni akiwemo Msuya, Mramba, Mrema na wengine waliopeleka lami na umeme kwenye migomba.
Hata Nyerere angekuwa mbinafsi sasa hivi Butiama ingekuwa kama Masaki
KNCU huioni ama? Kuna vyama vingapi vya ushirika? Kule kahe tu watu wanajenga lami kwa michango yao wenyewe kwa sasa. Acha uongo wako. Mashule yenyewe huyo Nyerere sindo alizitaifisha?
Tuachane na hizo za wamishenari... unaijua idadi ya mashule yaliyopo ya wamiliki binafsi kwa sasa? Achilia mbali ya mashirika ya kitawa na brothers?Shule nyingi za zamani zilijengwa na wamisionari wazungu
Halafu rais atakuwa nani?Mimi Arusha ndio nyumbani ila naona badala ya kujitenga ;
Kwanini tusiwe na serikali moja ya URT halafu tuongeze nchi kama Burundi na Rwanda ziwe mikoa yetu pia tuwalete na wakomoro.
Halafu kidogo kidogo tupanuke tukiwazia kuwa na Taifa moja la Afrika.
Yaani United States of .
Yaani Afrika iwe na Rais mmoja, Currency moja, Jeshi Moja. Tutafika huko siku moja.
Ili tuwe km Ethiopia?Make Kilimanjaro great again serikali za majimbo ziruhusiwe tunacheleweshwa kiuchumi
Hebu imagine kwa wale wa Kilimanjaro tumepambana hadi tumefika mbali bila utegemezi wa serikali na tupo hapa
Huo uchumi wa kati wanaozungumzia tulifika miaka ya 70 huku
Wao wanajenga shule za kata, sijui elimu bure sijui madawati sisi hizo shule zipo miaka 100 sasa yaani ccm bwana
Ni wakati wa sisi kufika uchumi wa level za dubai au majimbo ya marekani huko au Qatar
Naunga mkono uwepo wa serikali za majimbo like Kenya au marekani, sasa uchague upande wa one nation utaifa ambao ni kubaki maskini au kuchagua mfumo wa majimbo ambao unaleta maendeleo ya haraka
Ukomunist umeiharibu nchi yetu sana, ccm imeifanya nchi hii kubaki maskini sana
Kwanza Kilimanjaro na Arusha kabla ya ukoloni yalikua majimbo huru na yenye viongozi,mamlaka na serikali yenye nguvu, tungekua level za Marekani sahivi ni hizi mambo ya utaifa, utanganyika viliturudishwa nyuma japo tupo mbali kwangu naona bado tunahitaji tupambane hadi kuifikia dubai sisi hatuna haja wala hatuhitaji sapoti ya govt maana hawajawahi kutusaidia chochote zaidi ya kuturudisha nyuma tu, na kutubagua
Wakati mwingine nawazaga tugawane tu kila mtu na maisha yake maana mara huyu ajengwe liuwanja kijijini kwake,mara afanye vile huku watu hawana maji, mara wengine wakumbwe na matetemeko rambirambi zichukuliwe wanyimwe zikanunulie sijui mandege mabovu, haya halmashauri pesa zote zinaenda serikali kuu sahv halmashauri hazina pesa halaf hizo pesa hazirudi tena kwa halmashauri zinajenga midaraja tu,mindege na kujenga uwanja kijijini kwake huku watu hawana maji
Ukiwaza haya mambo utaona umuhimu wa serikali za majimbo kuliko ccm
Kiwango cha uwelewa kwa USA kiko juu vya kutosha, hakuna kitu km ukabila km ilivyo afrika.Mbona husemi marekani yenye serikali za majimbo na mambo yako poa!
Hatuibi tunapiga kaz ndio maana Kilimanjaro Ni mkoa wa kimaendeleo,endelea kuchunga mbuz tu
Hivi unaelewa maana ya Mada hii au mnajirukia tu km mbuzi wa kisusuio na baadae Ndafu wewe kwanini unajenga kwenye Jimbo la wenzako unaacha kujenga unakotaka kujitenga? mleta anataka Majimbo wewe naPovu lote lá nini? Kajenge kwenu na wew uringe, MTU KWAO
waelezeee kuchamba kwingi mwishowe wanatoka na kinyesi, wametapakaa kila kona na wamekaribishwa kila kona lkn kutoa kiwanja huko Narumu au Kishimundu kwa Mkurya au Msukuma hawakubaliWachaga mkiwa mjini Mzizima mna mbwembwe sana lakini kiuhalisia mnasafiri kwa treni na kulala kwenye mapagale.
Nadhani sasa umemuelewa!
Ingia web ya wizara ya fedha ujisomeeLeta document tusome wenyewe usitulishe maneno matupu
Nyie mlikuwa wapi kusoma?Kuna watu wa kuwashukuru
1. Wamisionari waliojenga shule
2. Viongozi wa kisiasa wa mwanzoni akiwemo Msuya, Mramba, Mrema na wengine waliopeleka lami na umeme kwenye migomba.
Hata Nyerere angekuwa mbinafsi sasa hivi Butiama ingekuwa kama Masaki
Kncu pia imejenga nyingi na ilikuwa na nguvu mno, wachaga wamepanda ndege kabla hata ya Uhuru,nyerere alikuwa akipewa nauli na kina aikael mbowe kwenda un kudai uhuru upo?Shule nyingi za zamani zilijengwa na wamisionari wazungu
Akijibu ni tagTuachane na hizo za wamishenari... unaijua idadi ya mashule yaliyopo ya wamiliki binafsi kwa sasa? Achilia mbali ya mashirika ya kitawa na brothers?
Na kama ndo sababu, mbona kungine kuna mashule ila hamtaki kwenda shule munawaomba walimu wawafelishe watoto wenu ili waolewe?
Wewe huelew kitu Kwan huruhusiw kuwekeza popote? Sisi tunawekeza popote hatujafungia akili zetu kwenye kibuyu Kama weweHivi unaelewa maana ya Mada hii au mnajirukia tu km mbuzi wa kisusuio na baadae Ndafu wewe kwanini unajenga kwenye Jimbo la wenzako unaacha kujenga unakotaka kujitenga? mleta anataka Majimbo wewe na
Freyzem
mnashabikia wakati ni washona viatu ndio mliomponza Mrema na mbowe kwanini mnaleta Mada ya majimbo wakati kwenu hapatoshi. kaeni Kishimundu na Machame mjikite na Jimbo lenu, hii ni mada ya 5 mwezi huu mnajitapa ndio maana nikasema mnawaharibia wenzenu na Sera za Majimbo kwanini msiache ukabila
nyie mnajibu upotolo
Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!
Mwaka huu niliamua kufanya tour trip huko Kilimanjaro ili kujifunza na kujionea shamrashamra za Wachaga wakisheherekea sikukuu ya Christmas. Mpaka sasa bado nipo Uchagani. Nimefanikiwa kufika maeneo ya Rombo, Mwika, Marangu, Old Moshi, Kibosho na Machame. Sijafanikiwa kufika maeneo ya Kirua...www.jamiiforums.com
Akili ni nywelewaelezeee kuchamba kwingi mwishowe wanatoka na kinyesi, wametapakaa kila kona na wamekaribishwa kila kona lkn kutoa kiwanja huko Narumu au Kishimundu kwa Mkurya au Msukuma hawakubali
sasa nimewaelewa
Hatujakaribishwa,tumenunua hata wewe ukiwa na hela unanunua popotewaelezeee kuchamba kwingi mwishowe wanatoka na kinyesi, wametapakaa kila kona na wamekaribishwa kila kona lkn kutoa kiwanja huko Narumu au Kishimundu kwa Mkurya au Msukuma hawakubali
sasa nimewaelewa
Hata Hashim Rungwe mkuu.Halafu rais atakuwa nani?