Makau makuu ya shirika la kijasusi la Ukraine lalipuliwa na makombora ya Urusi

Ila wabongo

Jengo lipigwe na kombora halafu bado libaki limesimama wima,hamna uharibifu wowote wa maana?!

Siku hili jengo linashambuliwa Russia walirusha Iskanders ballistic missiles, cruise missiles pamoja na Drones za Iran.
Around 11:30, the russians attacked Kyiv region with land-based ballistic and cruise missiles from the "Iskander", - Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine Valerii Zaluzhnyi.

A total of 11 missiles were launched: "Iskander-M" and "Iskander-K" from the northern direction. All targets were destroyed by air defense forces


Kuna mawili jengo lilipata uharibifu kidogo kutokana na mabaki yaliyoanguka baada ya kombora kutunguliwa AMA baada ya drone kutunguliwa. Maana jengo lililopigwa Kwa kombora haliwezi pata mchubuko Tu,hata tofali moja halijashuka.

Picha ya jengo linalodaiwa kupigwa kombora

IMG_20230607_011828.jpg


Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
 
Aisee Dunia inakwenda kwa Kasi sana.
USA na west toka kupigana vita dhidi ya Ugaidi na Sasa wao kua magaidi rasmi.aisee.!!
Hongera Urusi,tunazidi kuwajua west kwa undani.
Mwishowe utakuwa kichaa , yaan Urusi alie kwenye nchi ya watu sio gaidi ila wanaomsaidia Ukraine kujilinda dhidi ya mvamizi ndo gaidi ? Ukiitwa kima mnanuna ila haya mabandiki yenu yanasadifu , ni kama kichwa kimekaa km mzigo hapo kwny shingo
 
Mwishowe utakuwa kichaa , yaan Urusi alie kwenye nchi ya watu sio gaidi ila wanaomsaidia Ukraine kujilinda dhidi ya mvamizi ndo gaidi ? Ukiitwa kima mnanuna ila haya mabandiki yenu yanasadifu , ni kama kichwa kimekaa km mzigo hapo kwny shingo
Ni nadra sana kukuta Pro-Russia ana akili timamu, wengi ni wahanga wa lishe mbovu utotoni kiasi cha kuathiri uwezo wao wa kufikiria.
 
Back
Top Bottom