Oya hawa ma ofsa watatuua sasa kama kila chaka tunaliongia wanatusanukiaMfano; unahamisha shs 200,000/= kutoka airtel money kwenda lipa kwa Tigo wanakata shs 800/=...ikifika tena kwenye lipa kwa tigo wanakata 2,200/=
wamemwaga mboga! haya hatuna ujanja tenaOya hawa ma ofsa watatuua sasa kama kila chaka tunaliongia wanatusanukia
Ila nimeskia kwamba hayo makato yana depend na mazingira, mfano kama till yako ya uwakala ulii register kwa nida ambayo hiyo hiyo nida uliitumia kutengeneza lipa number basi automatic detectors zina sense kama fraud na hapo ndio unakatwa
kivipi?
mawakala hutukutmia till za uwakala tukahamia lipa asa wamezingua hukokivipi?
We mbona mi jana nimetoa hela kwa wakala kwa njia ya lipa fresh tumawakala hutukutmia till za uwakala tukahamia lipa asa wamezingua huko
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
mm sms nimetumiwa saa8 mchana kwmbaa kuna mabadiliko huko na kweli yapo tu yakutosha kuna ada ile kwa mteja imeongezwa na kwa upande wetu tukitaka kuzitoe izo pesa kwenye lipa yetu mwisho ni 49999 ikizd hapo tunatozwa ada wakat mwanzo hadi mil10 ilikuwa bure kuitoaWe mbona mi jana nimetoa hela kwa wakala kwa njia ya lipa fresh tu
Aisee mbona kasheshemm sms nimetumiwa saa8 mchana kwmbaa kuna mabadiliko huko na kweli yapo tu yakutosha kuna ada ile kwa mteja imeongezwa na kwa upande wetu tukitaka kuzitoe izo pesa kwenye lipa yetu mwisho ni 49999 ikizd hapo tunatozwa ada wakat mwanzo hadi mil10 ilikuwa bure kuitoa
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
ndoivo tena sjui tukimbilie wap sema kama kuna wajuzi wengne watupe njia mbadalaAisee mbona kasheshe
Duuuh hawa majamaa hawakimbiliki aisee wameamua waturudishe kwenye tozondoivo tena sjui tukimbilie wap sema kama kuna wajuzi wengne watupe njia mbadala
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
yaah ndyo huko huko hakuna jinsDuuuh hawa majamaa hawakimbiliki aisee wameamua waturudishe kwenye tozo
Ndio maana ni ngumu sana cashaless transactions kuongezeka. Ni afadhali ulipe kwa pesa kabisaShughuli imeanza leo Kwa lipa kwa tigo pesa subiri nao voda wanakuja sasa