Makato ya matumizi ya ATMs za Benk ya NBC ni makubwa mno

muyumbu

Member
Jul 3, 2014
23
10
Mimi ni mteja wa NBC na jana nilitoa pesa kupitia ATM zao za pale Shoppers Mikocheni jijini Dar.

Nilitoa laki 4 mara 2 yani miamala miwili chakushangaza wamenikata elfu 3 kwa kila muamala jumla elfu 6

Hii kwenu ikoje wadau na nimewapigia customers care yao mara 2 sijapata majibu yalionyooka zaidi ya kuishia kukatiwa simu kwa ahadi ya kupigiwa tena badae ila kimya hadi sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The end of the day, that was the choice you made, and it doesn't matter how hard it was to make it. It matters that you did...
 
Njoo CRDB
ATM charge nadhani ni sh 700 kama sijakosea
1200 kwenye ATM
4700 counter

Loyal customer hujui hata unakatwa sh.ngap au we unapewa discount na kimei
Screenshot_20191212-093023_1576132268214.jpeg
 
Hata zamani pia ilikuwa ni 600 sio 700
Dear Loyal customer
Nakukoma kwa vichambo leoo mbonaa...nimenyoooka baba😂

Nadhani effect pia ya kutumia sm accounts ambazo zina free charges hapo unakua hujui wanakata bei gani
 
Back
Top Bottom