muyumbu
Member
- Jul 3, 2014
- 23
- 10
Mimi ni mteja wa NBC na jana nilitoa pesa kupitia ATM zao za pale Shoppers Mikocheni jijini Dar.
Nilitoa laki 4 mara 2 yani miamala miwili chakushangaza wamenikata elfu 3 kwa kila muamala jumla elfu 6
Hii kwenu ikoje wadau na nimewapigia customers care yao mara 2 sijapata majibu yalionyooka zaidi ya kuishia kukatiwa simu kwa ahadi ya kupigiwa tena badae ila kimya hadi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app