Makato ya M-pesa

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
9,503
12,166
Leo nimeshindwa kutoa pesa naona Ada imepanda kutoka 2,700/- hadi 4,135/- na tozo imepungua kutoka 2,050/- hadi 1,435/-.
Kwa hesabu za haraka jumla ya makato yalikuwa 4,750/- kwa kutoa 55,000/- sasa ni 5,570/-
Au ukiwa kijijini Njombe kuna makato tofauti?!
IMG-20210904-WA0000.jpg
 
Kumbe wamepunguza 4750 to 4135!hyo mia 600 tu?waende zao!mi nkajua itakua kama mwanzo au watakata elf3 km 500 hivi!my uuu!!
 
Hapo ukitoa kila siku 55, kujakufika 1,100,000 utakatwa kama laki hivi. Sasa si ndiyo faida?
 
Back
Top Bottom