Makato ya HESLB kwa sasa ni 15%

Hapana, ni 8% mkataba WA mwanzo ndo huo. Utavunjaje mkataba wakati mtu ashajipanga kulipa 8%kama alivyoandikiwa na bodi
 
Hapana, ni 8% mkataba WA mwanzo ndo huo. Utavunjaje mkataba wakati mtu ashajipanga kulipa 8%kama alivyoandikiwa na bodi
Hawa jamaa ni wababe sana, na tutakaoumia zaidi ni sisi watumishi wa umma, inatia hasira sana na vyama vya utetezi wa wafanyakazi vya inchi hii ni vya kifala sana vipo vipo tu,
 
Mm nashangaaa wanavunjaje mkataba wakat hatukubaliana hivyoo?
Wafungulieni jalada maalum hawa watakuwa wanageuza escrow wapige dili.
Mkataba mliosaini ni 8% leo wanashauriwa sijui na wake zao wanakuja na 15% so painful
 
Hawa jamaa ni wababe sana, na tutakaoumia zaidi ni sisi watumishi wa umma, inatia hasira sana na vyama vya utetezi wa wafanyakazi vya inchi hii ni vya kifala sana vipo vipo tu,
Vyama vile ni saccos zao usitegemee jipya wala msaada kutoka vyama vile
 
ninacho fahamu kuwa sheria inapokuwa inabadilishwa inaanza kufanya kazi kwa wahusika, wala hauwez kutumika kuhukumu kwa makosa ya nyuma.... hvo kwa wale ambao wanakatwa 8% inatakiwa waendelee kukatwa hyohyo ila kwa wale watakao anza ndo wakatwe 15% otherwise its not fair and unequal application of rules
 
Back
Top Bottom