Fredrick Mmari
Senior Member
- Jul 8, 2013
- 144
- 37
Mm nashangaaa wanavunjaje mkataba wakat hatukubaliana hivyoo?Hapana, ni 8% mkataba WA mwanzo ndo huo. Utavunjaje mkataba wakati mtu ashajipanga kulipa 8%kama alivyoandikiwa na bodi
Hawa jamaa ni wababe sana, na tutakaoumia zaidi ni sisi watumishi wa umma, inatia hasira sana na vyama vya utetezi wa wafanyakazi vya inchi hii ni vya kifala sana vipo vipo tu,Hapana, ni 8% mkataba WA mwanzo ndo huo. Utavunjaje mkataba wakati mtu ashajipanga kulipa 8%kama alivyoandikiwa na bodi
Wafungulieni jalada maalum hawa watakuwa wanageuza escrow wapige dili.Mm nashangaaa wanavunjaje mkataba wakat hatukubaliana hivyoo?
Vyama vile ni saccos zao usitegemee jipya wala msaada kutoka vyama vileHawa jamaa ni wababe sana, na tutakaoumia zaidi ni sisi watumishi wa umma, inatia hasira sana na vyama vya utetezi wa wafanyakazi vya inchi hii ni vya kifala sana vipo vipo tu,