Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Habarini ndugu wajumbe.
Tujikumbushe kidogo makato kwa mtumishi wa umma:
Kodi (Tax) = 12%
Mifuko ya Hifadhi ya jamii = 5%
Mfuko wa bima ya afya = 3%
Bodi ya Mikopo (HESLB) = 15%
Vyama vya wafanyakazi (TUGHE, CWT nk) = 2 %
JUMLA YA MAKATO YOTE = 37%.
Kinachobaki ndo take home yako au kwa jina lingine "Ujira wa Mwiha".
Ili uweze kukopesheka kwenye taasisi za benki (hata hapa kwetu CRDB), theluthi moja (1/3) ya mshahara wako lazima ubaki baada ya benk kuchukua makato yao ya kila mwezi.
Mfano:
Mtumishi mwenye mshahara (Gross Salary) ya 700,000 TZS,take home yake ni 700,000 toa (700,000 x 37%)
= 700,000 - 259,000 = 441,000
Theluthi moja (1/3) ya 441,000 = 132,300
Baki yako ni 308,700 >>>>> hi ndo benk watadeal nayo.
Kufa hatufi