The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,081
- 14,116
Kwenye uteuzi wa Makatibu wakuu jana kuna Wizara zina makatibu wakuu zaidi ya mmoja. Hii imekaaje? Kwa uzoefu wangu sijawahi kuona wala kusikia teuzi kama hizi. Kwa kawaida Katibu Mkuu wa Wizara ni mtendaji mkuu au accounting Officer wa hiyo wizara.
Rais pamoja na kupunguza idadi ya Mawaziri, teuzi za makatibu Wakuu kibao zinaonyesha ni jinsi gani serikiali yake ilivyo kubwa kama kawaida!!!
Hizi ni baadi ya Wizara zenye Makatibu zaidi ya mmoja!!
Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge, Sera, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu)
Erick Shitindi (Katibu Mkuu Kazi na Ajira)
Mussa Uledi (Katibu Mkuu Bunge)
Dkt. Hamis Mwinyimvua (Katibu Mkuu - Sera)
Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Dkt. Frolence Turuka (Katibu Mkuu - Kilimo)
Dkt. Mashingo (Katibu Mkuu Mifugo)
Dkt. Budeba (Katibu Mkuu - Uvuvi)
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Mhandisi Joseph. Nyamuhanga (Katibu Mkuu - Ujenzi)
Dkt. Leonard M. Chamuliho (Katibu Mkuu - Uchukuzi)
Profesa Faustine R. Kamuzora (Katibu Mkuu - Mawasiliano)
Mary Sassabo (Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano)