Makame
JF-Expert Member
- Jan 3, 2008
- 512
- 60
- Thread starter
- #21
Nawashangaa wanaoshindwa kuelewa dhana ya KUHAMA; hii dhana ipo tangu zama za Baba wa Taifa na bado tunayo. Hilo Baraza lilivunjwa au lilifanyiwa cosmetic repair? Kuwatosa akina Mkulo, Maige, Ngeleja na Mponda was necessary. Ila hakuna major changes ambazo utaziita kuwa kuna mabadiliko. we are in the same old system