Makatazo yanawaadhibu CCM zaidi kuliko wapinzani!

leonaldo

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
2,585
3,179
Ili kuweka kumbukumbu sawa,tujiulize jambo moja kubwa na la msingi ili kufanya tathimini ya manufaa,mafanikio na umuhimu wa makatazo ya Mhe Rais.
Tangu Raisi Magufuli aagize wenye mdomo na waropokaji spika wa bunge awatimue ili wakija huku uraiani wanyoshwe,tangu hapo waropokaji walishatimuliwa bungeni na waropokaji wawili walishafikishwa mahakamani ni kesi ipi ilishawahi kufanikiwa na kuwanyosha waropokaji?

Katazo la kufanya mikutano nje ya jimbo,kuna kesi nyingi tu lakini ni kesi ipi alishawahi kufanikiwa na wakaidi wakatiwa hatiani

Uchochezi pia zipo kesi kibao za uchochezi mnitajie hata moja abayo ilishawahi kufanikiwa.

Katazo la mikutano ya kisiasa
Zipo kesi nyingi tu hapa nchini moja wapo ya Mashinji na ile ya Geita lakini ni ipi ilishafanikiwa na wakosaji wakatiwa hatiani.

Kama hakuna mafanikio yoyote katika kuwanyosha wahusika faida ya haya makatazo ni nini?

Je kuna umuhimu wa makatazo haya kuendelea kuwepo?

Kwa upande mwingine ni hasara gani za kisiasa zimepatikana kutokana na haya makatazo, kwa upande wangu nimegundua wananchi wameongeza kiu ya kuwasikiliza wapinzinzani kuliko wakati wowote ule kila inapopatikana nafasi ya mikutano mfano kampeini za udiwani mikutano ya wapinzani inakupata nyomi na kuongeza kiholo kwa CCM ambayo inahangaika kupata wasikilizaji.

Kama hakuna nafanikio kwa nini wasiachane na makatazo warudi kwenye siasa huria kama mwanzo?
 
Kwa hali ilivyo mbaya siasa ya nchi hii inaitesa sana ccm, wakataze wasikataze ccm inakufa tu.

Sasa kama thinktank wa ccm ni Joket na lusinde unategemea nini? Ccm ni kusanyiko la kugandamiza haki na demokrasia nchini
 
Hilo nakubaliana na wewe kuzuia mikutano za vyama vya siasa ni disaster kwa CCM kwenye uchaguzi mkuu 2020. CCM ingepata nafasi ya kujisahihisha na kujipima kupitia mikutano hiyo ya vyama vya upinzani.
 
ushauri wa bure kwa wana ccm, polisi na bashite, wakumbuke kuna maisha baada ya JPM, na pia JPM hatokua raisi milele
 
Na gharama ya kesi zote hizo nani analipa? Au kuna njia TRA wanatengeneza income hapo kama ilivyo barabarani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom