Makapuni ya simu yana maslahi binafsi katika matangazo ya vyama? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makapuni ya simu yana maslahi binafsi katika matangazo ya vyama?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dark City, Jul 14, 2010.

 1. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kwa siku za karibuni, imekuwa ni kitu cha kawaida baadhi ya watu kupokea ujumbe wa simu ukiwaomba na kuwahamasisha kuchangia CCM. Na hivi karibu kuna washikaji zangu wamepokea ujumbe ukiwataarifu matokeo ya mkutano mkuu wa CCM na uteuzi uliofanyika. Hawa jamaa wamenieleza kuwa siyo wanachama wa CCM na hawajawahi kuwasiliana na chama hicho kwa sababu yoyote ile. Je, hizo namba CCM wamezipata wapi? Na kama makampuni ya simu yametoa hizo namba hayajakiuka sheria na kuingilia maisha binafsi ya wahusika? Hili jambo limenikera na naamini ni makosa kwa chama chochote au taasisi kuingilia maisha binafsi ya raia wasio wanachama au wafuasi wa chama hicho au taasisi hiyo.
   
 2. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jimeze! hii ndiyo bongo habari ndiyo hiyo. Ila pole sana mkuu.
   
 3. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,988
  Likes Received: 3,737
  Trophy Points: 280
  Kukiuka sheria chini ya CCM?.....hola!!
  Kama unatafuta logic yoyote kuhusisana na makampuni ya simu, yakubidi uwe mpole tu... usubiri CCM iondolewe madarakani (kwa maana nyingine wewe mwenyewe endelea kuwa sehemu ya chagizo to oust them bunch!)
   
 4. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Najua kuwa CCM wana mambo yao na hawawezi kuguswa na mtu yeyote katika nchi hii. Kwa sababu kwa mawazo yao wao ndio Tanzania na Tanzania ni wao. Ila kama makampuni ya simu yanaweza kutoa namba za wateja kwa CCM au chama chochote kingine au mtu binafsi, je, hizi taarifa binafsi tulizowapa wakati wa kusajili simu ziko salama kweli?
   
Loading...