Makapuku wanaongoza kwa kuwa na wapenzi wengi na kukosa mapenzi ya dhati

flood

Senior Member
Jul 10, 2017
117
184
Katika pitapita na maisha kwa ujumla nimegundua kuwa masikini wanaongoza kwa kuwa na wapenzi/mahusiano lukuki yaani sio wawazi hata kidogo muda wote anataka aonekane yuko juu kiutambuzi na kimaisha yaani anajua kila kitu.

Ila wakishua huwa niwatulivu, wacare mawazo na hisia za wenzao sio watu wa kuspend bila kuwa na mipango hawana maneno mengi kivile mpaka labda uwe karibu nae, utakuta wakishua anamahusiano ya tokea sekondary wengine tokea msingi na mpaka wanaoana, sasa mwenzangu kila uchao anabadili na kuona yeye ndio mjanja wa mji.

Kwenye kuchagua wapenzi kapuku atataja sifa nzuri nzuri utasema yeye ndie anayeumba, nenda kamuone mwenyewe sasa ndio unachoka mimi nakuambia ukiona hivyo ujue balehe ilimkuta kijijini na mjini aliletwa na HELSB na mda wote anajifanya kuongea lugha ngeni.

INABOA ETI
 
Huwezi Ukawa binadamu ukakosa vyote... Ndo maana sasa hivi maskini ndo wana familia kubwa kuliko ' matajiri' kwa kuwa kila mtu anakitu cha kumfariji ..kwa maskini hiyo ndo kipozeo kwakuwa hata pombe za kulewa zenye afya hawezi kumudu.
 
Katika pitapita na maisha kwa ujumla nimegundua kuwa maskini wanaongoza kwa kuwa na wapenzi/mahusiano lukuki yaaan sio wawazi hata kidogo mda wote anataka aonekane yuko juu kiutambuzi na kimaisha yaan anajua kila kitu. Ila wakishua huwa niwatulivu, wacare mawazo na hisia za wenzao sio watu wa kuspend bila kuwa na mipango hawana maneno mengi kivile mpaka labda uwe karibu nae, Utakuta wakishua anamahusiano ya tokea sekondary wengine tokea msingi na mpaka wanaoana, sasa mwenzangu kila uchao anabadili na kuona yeye ndio mjanja wa mji....
Kwenye kuchagua wapenzi kapuku atataja sifa nzuri nzuri utasema yy ndie anayeumba, nenda kamuone mwenyewe sasa ndio unachoka mimi nakuambia ukiona hvyo ujue balehe ilimkuta kijijini na mjini aliletwa na HELSB na mda wote anajifanya kuongea lugha ngeni....
INABOA ETIII
Umemuongelea ex friend wangu mmoja hapa . Wengi ni wagonjwa wa akili, wana personality disorder inaitwa narsistic (NPD), yaani akimpata mtu anaona kama amescore maksi fulani anaanza kumdharau na anatafuta wa juu yake zaidi ili ajisikie vizuri. Makapuku ni pasua kichwa si kidogo
 
Katika pitapita na maisha kwa ujumla nimegundua kuwa maskini wanaongoza kwa kuwa na wapenzi/mahusiano lukuki yaaan sio wawazi hata kidogo mda wote anataka aonekane yuko juu kiutambuzi na kimaisha yaan anajua kila kitu. Ila wakishua huwa niwatulivu, wacare mawazo na hisia za wenzao sio watu wa kuspend bila kuwa na mipango hawana maneno mengi kivile mpaka labda uwe karibu nae, Utakuta wakishua anamahusiano ya tokea sekondary wengine tokea msingi na mpaka wanaoana, sasa mwenzangu kila uchao anabadili na kuona yeye ndio mjanja wa mji....
Kwenye kuchagua wapenzi kapuku atataja sifa nzuri nzuri utasema yy ndie anayeumba, nenda kamuone mwenyewe sasa ndio unachoka mimi nakuambia ukiona hvyo ujue balehe ilimkuta kijijini na mjini aliletwa na HELSB na mda wote anajifanya kuongea lugha ngeni....
INABOA ETIII
fact
 
Ndiyo wale utakisikia ukioa familia masikini nishida sasa huko kwa matajiri wakienda kuoa balaa lake nikuwa bushoke anatamani hata yule aliye mtosa
 
Back
Top Bottom