Makapuku haina impact, tokeni huko mje kupanuliwa mawazo!

huyo Mwenye Uzi amenikumbusha ile kauli kuwa
mtu anapofilisika hajui kama anafilisika.ila watu wanaomzunguka hujua.
sasa mleta mada kashtuka tu billboard imehamia makapuku.
makapuku beib( kwa sauti ya Nyaningabu)
 
Am proud 2 be kapuku
979a20e98ed800daeab8fcbfcaaf6596.gif
abb61f2496f0e2efb6474f815da64d70.gif
 
Leo nilikuwa nafanya data analyais, nikasema ngoja niangalie hawa members wenye most likes wana michango gani?

Nilishangaa kuona kati ya member kumi wenye most likes, nane ni makapuku.
Na kinachotokea hapo hata member akiandika, 'good nite mabest', woote wanalike.
So nikaona kuwa members wengi wamejijengea profiles kubwa kwa haraka haraka kwa 'njia za haramu'.

Yani ni sawa na mwanafunzi karuka darasa la saba na kupewa PhD. Matokeo yake sasa unakuta mtu msomii ila kichwani ni mweupe kama 'vilaza wa Magu'.

Wito wangu ni kwa Makapuku kutumia mda mwingi zaidi ili kujijengea uwezo wa kuandika thread na kujibu hoja.

Kama unabisha, kaangalie members wenye most likes, wengi wana thread zisizozidi tano. Ina maana hawa jamaa bado ni wachanga kwenye gemu na hawana uwezo wa kutosha kutatua matatizo ya jamii nje ya Makapuku Forum.
Mtoto wa kiume kuanza kufuatlia Mambo yasiyokuhusu huo ni ushog**.........Acha kuimba taarabu na ufanye yanayokuhusu............naona we umeshapanuliwaa
 
Back
Top Bottom