Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaYuko apa tatizo bundle
Shwari mkuu...salama kabisa mdau. Asante kunijulia khali, nami narudisha salamu kwako.
Kuna nyingine ni brevis nayo INA namba km hiyo ni special nnView attachment 1561356
Hii inawezaa kupigwaa chetiii kweli ?
Hii benz yangu nauza laki saba,inafaa sana safari za hapa na pale za kwenda kula kitimoto na bia moja
Kwa niniNajua kwa nini uzi umepoa!
Zanzibar!Kwa nini