moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 125,285
- 688,515
Wakija unistue,nije nipate tangazo
HayaWakija unistue,nije nipate tangazo
Itaneni basi jamani jirani
TECNO yangu haimo kwenye orodha dah
Wewe na nani etiTupo Tupo...
Naomba kuuliza hizi unazipata wapi?
Sanaaa jamani woiii ukutane na lijanaume linanuka sasa daaah
Toa tangazo tu kusubiri kuwa wote watu wamepotea humu
Kwenye website ya fahamu zaidiNaomba kuuliza hizi unazipata wapi?
Sio kwa kutekwa huko jamaniToa tangazo tu kusubiri kuwa wote watu wamepotea humu
Watu wamepotea watakuwa busy na mambo yaoSio kwa kutekwa huko jamani