Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,621
Mm cjamboHamjambo hukuu
Mm cjamboHamjambo hukuu
Shikamoo mdogo wnguHujambo aunt...
Hahah kwakweli marahaba dadaangu..za siku mingiShikamoo mdogo wngu
Hope mko wazima wapendwa,mie cjambo
Tumekumiss pia mama karibu
R.I.P buddykuna wakati kuna vitu vinajitokeza kwa makusudi katika haya tunayofanya humu ndani.. Wengi tunawapa ustar Usiostahili.. Hawana wanachokiandika zaidi ya ujinga.. Tupo hapa kujenga na kurudisha Heshima ya Jf nzima... Hatuwezi kuwapandisha wale wasiostahili.. Tusimame imara
HayaMm cjambo
Mama Mchungaji ,naona ibada na maombezi yanakuweka busy ,vipi na wewe unagawa mafuta ya upako?Hope mko wazima wapendwa,mie cjambo
Wote hatupati dear hbr ya kupoteaHahah kwakweli marahaba dadaangu..za siku mingi
Afu me sipati notifications.. Loh
Kama mimi ni mzima kabisa ma dear sisy...
Nakusanya upepo wa kisulisuli kwa ajili ya waumini wanguMama Mchungaji ,naona ibada na maombezi yanakuweka busy ,vipi na wewe unagawa mafuta ya upako?
Hawa majamaa waongo hawa
Wote hatupati dear hbr ya kupotea