Makapuku Forum

@Watu8

Hebu kuza ubongo wangu kwa chocolate
Umepata , sasa sijui utataka kuukuza kwa kiwango gani nijue upate chocs kiasi gani

Zenye unabeba kwa bag yako zinatosha
Hahah hizi huwa ni zile za kuchangamsha jaws tu
Hahah i wish ingewezekana kutuma kama emoney ...
Mmh
Kumbe ndio manaa baba j aliibiwa yalikuaga hivi
 

Similar Discussions

260 Reactions
Reply
Back
Top Bottom