Makapuku Forum

...its almost furahiday, TG!

Nimestuka tu mida hii, najiandaa na safari mapema, so kujiandaa nisiachwe na basi na kwa sababu hii basi nimekukumbuka wewe mdau na nilipewa cheti cha kushindwa kudanganya nnachopenda.
Sikiliza hili gitaa la bass, sio hili la paul Simon, ila la huyu mbantu mwenye macho manne


Happy Furahiday wadau na kama kawaida, hapa ni sehemu nzuri kuwepo sababu wewe upo.

 
its-friday-gif.jpg
 

Similar Discussions

260 Reactions
Reply
Back
Top Bottom