Makapuku Forum

..
Screenshot_20190515-180104.jpg
 
Binamu shikamoooo

...marhaba binamu, uko mzima kabisa wewe? sijakusahau ujue, sema mambo yangu hayajakaa sawa ila nikikaa sawa tu wewe utakuwa wa kwanza kujua halafu wanakuja kina JJ na kisha anafuata wema Sepenga na kisha sasa ndugu zangu wanafuatana na watashangaa sana.

Hujambo lakini
 

Similar Discussions

260 Reactions
Reply
Back
Top Bottom