Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuhamu pia binamu yangu...nimeipokea aunt, uko mzima wewe?
Nimekuhamu sana tu, na ninaamini maisha hayana yanakutendea wema
Eenh sipo huko mie kwa sasaNdio ,nikanywe Boha kisha nicheze mdumange
Kwa sasa upo wapiEenh sipo huko mie kwa sasa
Ili niekewi mkuu,
Nyumbani kwanguKwa sasa upo wapi
Hahahahahaha binamu...atakuja binamu yangu ningendako yeye ndo anajua kumwaga yai utasema anatokea BBC Londoni.
Ila kuna mtu chake ukidediketiwa za kifaransa mcheki akupe twisheni au kama vipi tukutane kwa ras simba
Hahahaha, wasalimie wote hapo nyumbaniNyumbani kwangu
Binamu shikamoooo...nimeipokea aunt, uko mzima wewe?
Nimekuhamu sana tu, na ninaamini maisha hayana yanakutendea wema
Hivi kwa Rasi simba bado unaenda binamu...atakuja binamu yangu ningendako yeye ndo anajua kumwaga yai utasema anatokea BBC Londoni.
Ila kuna mtu chake ukidediketiwa za kifaransa mcheki akupe twisheni au kama vipi tukutane kwa ras simba
Binamu shikamoooo
Hivi kwa Rasi simba bado unaenda binamu
Zimefika we mzeeHahahaha, wasalimie wote hapo nyumbani
Hahahaha, safi Sana km zimefika ,namiss nn hapo ulipoZimefika we mzee
Hampoo bhn.. kimya sana humuTupooo
Tupoo bwana we mzeeHampoo bhn.. kimya sana humu
Unamiss nn eti we mzeeHahahaha, safi Sana km zimefika ,namiss nn hapo ulipo
Hahahaha, ndio uniambie sasa namiss nn hapo ulipo muda huuUnamiss nn eti we mzee
Sawa sawa...naendaga kimachale na tangu mfungo umeanza napata shida sana maana kila muda ni kiarabu tu nasikia, mwezi ukiandama tu nadhani hamu zangu za kiinglishi zitarudi kwa kasi mpya