Makapuku Forum

Kitanda hakizai haramu

Mandalizi yako ndio safari yako

Mwazo yako ndio jibu sahihi

Uelewa wako ndio hutafsiri jambo

Uvivu wako ndio njaa yako ya kesho

Uaminifu wako ndio siraha ya ushindi

Ukweli wako ndio uhakika wa unacho tarajia kupata

Upya wa fikira no upya wa mafanikio
 
Nipo anko, habari za wewe
Naonaaa unatumiaa avatar ya Tumosa
Screenshot_20190211-202010.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom