Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 152,886
- 453,430
Utofauti wa Jaguar na Chui.
Madoa Yao: Wote Wana Madoa, Lakini Madoa ya Jaguar yana Madoa Pia Ndani Ya Madoa Yake, Lakini Chui Yeye ana madoa Tu Ya Kawaida.
Umbo Lao: Jaguar wana umbo kubwa, Kichwa kikubwa pia tofauti na Chui...Pia mkia wa Jaguar ni Mfupi wakati wa Chui ni Mrefu.
Wote wanaweza Kuogelea vizuri tu kwenye Maji, Lakini Jaguar anapenda sana Maji kuliko Chui.
Kingine, Chui ana uoga hasa anapokutana na mnyama mkubwa kwake kama Simba, Lakini kwa Jaguar hakunaga kitu kama hicho, Jaguar ni Wabishi hatari sana.
Jaguar wakikutana na kitu chochote ambacho akili yao itawatuma kuwa ni chakula, Basi na kweli anafanya kuwa chakula....ndio maana kuna video kadhaa mmeona Jaguar akiwakamata Mamba.... Actually wale sio mamba wenyewe, Wanaitwa Caimans wanapatikana sana America.
Wana maumbo ya kawaida Tu, Tofauti na Mamba wenyewe ndio maana pia Wanapata tabu sana sababu Mamba kama Mamba umbo lake akiwa mkubwa anakuwa na Uzito mkubwa kumshinda Jaguar, Kitu ambacho ni kazi Kwa Jaguar kuweza kumgeuza kitoweo.
Kingine,Africa hakuna Jaguar na America hakuna Chui.