Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,108
- 37,642
Jumapili njema
Na kwako pia
asanteee sana kwa kunimis jamaniNmekumis ata kama ulipata mchepuko
Wewe kunimis ndo ishakuwa baba mkwe??
Na wewe pia mkuu
Namsubiri pia,, sijamuona toka jana,,, naona weekend hii ilikuwa ndefu kwakeKwema kabisa ...namsubiria Shunie aweke magazeti
Sijui why hapendi kunikumbuka! But nafarijika kuona Tumosa unanikumbuka@slim5 umemsahau alisema usiwe unamtag Obe pekeake
Ahsante sana Mkuu. Nimeyasoma Magazeti yote!Asante kwa magazeti aunt yangu mwenyewe. Asubuhi njema.
Tumosa umesoma magazeti lakini? Au ndo umekaa unamshangaa anko Lyon Lee anavyokuja na kupoteapotea
Slim5 na ningendako magazeti hayo someni msije mkashangaa aunt yangu anazima moto maana wikend haidanganya. Unaweza kuta anakazana saa hii Moto ukazima