Makao makuu ya nchi kuwa Dodoma

MKUNIRWA

Member
Jul 1, 2016
19
12
Wizara na taasisi zake kuhamia Dodoma kwa ghafra ni cha kizalendo lakini hakikuzingatia uwezo wa nchi na majukumu yaliyopo mbele yetu na sina hakika kama ni kipaumbele kwa sasa kwakuwa ata katika bajeti ya nchi hakuna fedha zilizotengwa kwa hajiri ya suala hili kwakuwa kuwahamisha watumishi wa serikali kwa ghafla namna hii litaighalimu nchi fedha nyingi ambazo ataivyo kwa sasa zingetumika kuboresha miundombinu ya hospitali zetu, shule zetu na kupunguza deni la taifa (ya nje na ndani).

Endapo taratibu za kumuhamisha Mtumishi zitafuatwa ni dhaili kuwa zinaitajika fedha nyingi sana zaidi ya bajeti ya nchi kwa mwaka huu wa fedha.

Watumishi wengi walishakopa kwenye taasisi mbalimbali za kifedha na fedha hizo wengine wamejenga vibanda vyao wengine wamelipa kodi, wengine wamewalipia ada za shule vijana wao hivyo mishahara inayobaki baada ya makato haitoshi kwa mtumishi kwenda Dodoma kumudu kupanga nyumba wala kumuwezesha kulipa nauli ya mizigo yeye na familia yake

USHAURI WANGU KWA SERIKALI

1. Iakikishe inawalipa watumishi wake staili zao zote za uhamisho na si kuwakopa kwakuwa wana familia na pia wengi wao walishasettle hivyo si jambo jepesi kumwambia mtumishi kuwa kesho nenda Dodoma kwa kufanya hivyo watumishi wengi watapata mshutuko wa moyo na kuichukia serikali yao

2. Naishauri serikali iendelee na mchakato wa kuhamishia makao yake makuu kwenda Dodoma lakini iwe kwa hawamu kulingana na uwezo wake kifedha.

3. katika kutimiza hazima hii ni vyema wataalamu mbalimbali watumike katika kutoa muhongozo sahii ili kusaidia mchakato sahii wa jambo hili.

4. vyombo vya habari vipatiwe nafasi ya kujadili kwa kina jambo hili

5. Serikali inayonguvu ya kuhamua watumishi waende kwa gharama zao au kuwakopa ila nashauri upendo na haki zifuatwe katika kuhamisha watumishi

HITIMISHO
Msema kweli mpenzi wa mungu
 
Mkuu ushauri mzuri. Asante sana. Wahusika watauzingatia.

Lakini..duh.....tumeshaambiwa kwamba shule za kata zinafanya vizuri kitaaluma. Sasa sijui tatizo ni nini. Maana kwa huu uandishi wewe si kizazi cha Mwalimu.

Soma tena kabla hujarusha bandiko lako.

Masanja.
 
Hahaha kwani kajitambulisha kusoma shule za kata?
 
Wizara na taasisi zake kuhamia Dodoma kwa ghafra ni cha kizalendo lakini hakikuzingatia uwezo wa nchi na majukumu yaliyopo mbele yetu na sina hakika kama ni kipaumbele kwa sasa kwakuwa ata katika bajeti ya nchi hakuna fedha zilizotengwa kwa hajiri ya suala hili kwakuwa kuwahamisha watumishi wa serikali kwa ghafla namna hii litaighalimu nchi fedha nyingi ambazo ataivyo kwa sasa zingetumika kuboresha miundombinu ya hospitali zetu, shule zetu na kupunguza deni la taifa (ya nje na ndani).

Endapo taratibu za kumuhamisha Mtumishi zitafuatwa ni dhaili kuwa zinaitajika fedha nyingi sana zaidi ya bajeti ya nchi kwa mwaka huu wa fedha.

Watumishi wengi walishakopa kwenye taasisi mbalimbali za kifedha na fedha hizo wengine wamejenga vibanda vyao wengine wamelipa kodi, wengine wamewalipia ada za shule vijana wao hivyo mishahara inayobaki baada ya makato haitoshi kwa mtumishi kwenda Dodoma kumudu kupanga nyumba wala kumuwezesha kulipa nauli ya mizigo yeye na familia yake

USHAURI WANGU KWA SERIKALI

1. Iakikishe inawalipa watumishi wake staili zao zote za uhamisho na si kuwakopa kwakuwa wana familia na pia wengi wao walishasettle hivyo si jambo jepesi kumwambia mtumishi kuwa kesho nenda Dodoma kwa kufanya hivyo watumishi wengi watapata mshutuko wa moyo na kuichukia serikali yao

2. Naishauri serikali iendelee na mchakato wa kuhamishia makao yake makuu kwenda Dodoma lakini iwe kwa hawamu kulingana na uwezo wake kifedha.

3. katika kutimiza hazima hii ni vyema wataalamu mbalimbali watumike katika kutoa muhongozo sahii ili kusaidia mchakato sahii wa jambo hili.

4. vyombo vya habari vipatiwe nafasi ya kujadili kwa kina jambo hili

5. Serikali inayonguvu ya kuhamua watumishi waende kwa gharama zao au kuwakopa ila nashauri upendo na haki zifuatwe katika kuhamisha watumishi

HITIMISHO
Msema kweli mpenzi wa mungu
waajiriwa wangapi watahamia dodoma, sidhani kama wanazidi 10,000.

unajua serikali imepata kiasi gani toka kwa mashirika ya kijamii kama michango yake kwa wafanyakazi hewa?
wanaweza kulipiwa kwa hizo tu.

watakapo fukuzwa wenye vyeti feki michango yao itajengewa miundimbinu
 
Back
Top Bottom