Wakuu kuna mzungu kanidokeza makao makuu ya nchi za umoja wa ulaya wana mpango wa kuhamia kenya hii ni kutokana kutoelewana kwendana sawa na serikali ya Tanzania
Kitu ambacho wazungu wengi kimewashinda ni kuhamia dodoma ambapo wanaona hamna miundo mbinu mizur hali ya hewa ikiwa pamoja mashule na nyumba za maana za kuishi wao na familia zao kuna baadhi walianza kurejea makwao na kuachana na kazi hapa nchini
Pia uonevu na ukandamizwaji vimechangia ambapo wanalalamika serikali yetu inaumiza raia wake na kutotii human rights kwa ujumla
Tuendapo kuna kiza kinene hizi ni habar za kweli kabisa baadhi wameanza kuhama na kupakia mizigo yao.
Sasa hapo si unakubalina na hoja yangu kwamba watu walikuwa wanakuza mambo yaani mfano hizo 'takwimu za mapato'?Hata ukusanywaji wa mapato yalikuwa hivyo hivyo kwa waliopinga mwisho wa siku jiwe kasema ukweli hii kitu ipo na haikwepek serikali ya tz ina msuguano na EU
Ahaaa haaa haaa
bro katika jukwaa hili, huwa kitu chochote kinacholetwa na mtu awaye yote, lazima kiwe na evidence au CHANZO from credible authority or source.
Kwa hiki kitu ulicholeta, sisi ambao tumekaa madarasani muda mrefu tunaona ni kama HISIA AU MTAZAMO NA SI UHALISIA.
=ukilza Ndo nini? TumbafuKukosea kuandika ni ukilza mkuu?
Huwa hivyo kila jambo ambalo lipo tofaut na serikali wengi huwa hawaamini nakwambia ukweli wazungu wengi nnaofanya nao kazi wanasepa kama huwaamini endelea kubisha na darasa lako kisha jiwe aje aseme kama ukusanywaji wa mapato ya kisaniii ukweli haujifich kwa akili yako nilete hili kwa lengo gani? Hizo hisia zangu zinasaidia nini au nafaidika na nini? Jipe moyo
Bavicha mumeishiwa sera!!!!!! Ebu tupatie source ya Habari yako=ukilza Ndo nini? Tumbafu
Bavicha, toa sourceKama na ww unaweza kutupa maana ya TUMBAFU utakuwa umefanya jambo jema
Ni tamko analopewa mtu anayetoa taarifa isiyo sahihi,Kama na ww unaweza kutupa maana ya TUMBAFU utakuwa umefanya jambo jema
Kwani Makao makuu ya EU yalikuwa wapi. Au unamanisha Office za EU Tanzania? Au unamanisha Office za EU katika Africa zilikuwa Tanzania sasa wanazihamishia Kenya? Au unamanisha Office za EU hapa Tanzania wanazifunga? Tueleweshe tusiojuaWakuu kuna mzungu kanidokeza makao makuu ya nchi za umoja wa ulaya wana mpango wa kuhamia kenya hii ni kutokana kutoelewana kwendana sawa na serikali ya Tanzania
Kitu ambacho wazungu wengi kimewashinda ni kuhamia dodoma ambapo wanaona hamna miundo mbinu mizur hali ya hewa ikiwa pamoja mashule na nyumba za maana za kuishi wao na familia zao kuna baadhi walianza kurejea makwao na kuachana na kazi hapa nchini
Pia uonevu na ukandamizwaji vimechangia ambapo wanalalamika serikali yetu inaumiza raia wake na kutotii human rights kwa ujumla
Tuendapo kuna kiza kinene hizi ni habar za kweli kabisa baadhi wameanza kuhama na kupakia mizigo yao.
Kwani Makao makuu ya EU yalikuwa wapi. Au unamanisha Office za EU Tanzania? Au unamanisha Office za EU katika Africa zilikuwa Tanzania sasa wanazihamishia Kenya? Au unamanisha Office za EU hapa Tanzania wanazifunga? Tueleweshe tusiojua
Hata yy hajuiKwani Makao makuu ya EU yalikuwa wapi. Au unamanisha Office za EU Tanzania? Au unamanisha Office za EU katika Africa zilikuwa Tanzania sasa wanazihamishia Kenya? Au unamanisha Office za EU hapa Tanzania wanazifunga? Tueleweshe tusiojua
Waambie waliokutuma jf Siyo mahali Salama pa kukurupukanajua akili zako zimekaa kisiasa mi sipo huko kenge wewe