Tetesi: Makao makuu ya EU kuhamia Kenya

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,189
Wakuu kuna mzungu kanidokeza makao makuu ya nchi za umoja wa ulaya wana mpango wa kuhamia kenya hii ni kutokana kutoelewana kwendana sawa na serikali ya Tanzania

Kitu ambacho wazungu wengi kimewashinda ni kuhamia dodoma ambapo wanaona hamna miundo mbinu mizur hali ya hewa ikiwa pamoja mashule na nyumba za maana za kuishi wao na familia zao kuna baadhi walianza kurejea makwao na kuachana na kazi hapa nchini

Pia uonevu na ukandamizwaji vimechangia ambapo wanalalamika serikali yetu inaumiza raia wake na kutotii human rights kwa ujumla

Tuendapo kuna kiza kinene hizi ni habar za kweli kabisa baadhi wameanza kuhama na kupakia mizigo yao.
 
Siyo kweli. Kwanza Makao Makuu ya EU yako Brussels, Ubelgiji. Pili kwenye kila nchi ya Afrika Mashariki kuna Ujumbe wa Uwakilishi (Delegation). Uwakilishi uliopo Tanzania ni pamoja na wa EAC, kwasababu makao makuu ya EAC yako Tanzania.
 
Ofisi kuu hapa nchini za umoja wa ulaya wanampango wa kuhama na kuhamia kenya
 
Malizia mbele tena mkuu unakumbuka balozi wa EU alirudishwa kwao kwa hapa tz?
 
Ofisi kuu hapa nchini za umoja wa ulaya wanampango wa kuhama na kuhamia kenya
Unamaanisha wafunge ofisi Tanzania wabakishe ya Kenya? Labda wapunguze baadhi ya shughuli lakini kamwe hawafungi. Au, labda Mzee Baba aamue kila mtu achukue hamsini zake, ikimaanisha anavunja uhusiano na Umoja wa Ulaya.
 
Ndio mpango wao wanashindwa kufanya kazi na sisi kumbuka sakata la yule balozi kufukuzwa bado kizungumkuti
 
Back
Top Bottom