radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,427
- 32,196
Wakuu kuna mzungu kanidokeza makao makuu ya nchi za umoja wa ulaya wana mpango wa kuhamia kenya hii ni kutokana kutoelewana kwendana sawa na serikali ya Tanzania
Kitu ambacho wazungu wengi kimewashinda ni kuhamia dodoma ambapo wanaona hamna miundo mbinu mizur hali ya hewa ikiwa pamoja mashule na nyumba za maana za kuishi wao na familia zao kuna baadhi walianza kurejea makwao na kuachana na kazi hapa nchini
Pia uonevu na ukandamizwaji vimechangia ambapo wanalalamika serikali yetu inaumiza raia wake na kutotii human rights kwa ujumla
Tuendapo kuna kiza kinene hizi ni habar za kweli kabisa baadhi wameanza kuhama na kupakia mizigo yao.