#COVID19 Makao Makuu ya EU duniani yatoa dozi 115,200 kwa Tanzania bila Masharti

Lissu rudi kwenu mambo yameharibika mzee
Hiyo ni ahsante ya Belgium kwa Rais Samia baada ya kumfutia Lisu kesi zake zote bila masharti. Samia ni msikivu sana kwa Dunia lakini kaweka pamba masikioni kwa kelele zenu enyi sukuma gang. Mtajibeba this time.
 
Tumuunge mkono,
 
Wakati Lissu na genge lake wakiipigia chepuo Tanzania inyimwe misaada mbalimbali ya kibinadamu na kimaendeleo toka EU,

Mambo ni tofauti kidogo toka Ubelgiji nchi anayoishi Lissu Kwa kula na kulala bure,

Kwani imeamua kuisaidia Tanzania dozi 115,200 za COVID-19 bila masharti huku wakiisifu Tanzania na Rais Samia kwa mageuzi makubwa,

Ukisikiliza hoja za Mwakilishi wa EU aliyefika Tanzania aliyekuwa akitoa hoja bunge la EU na hii misaada inayomiminika toka makao makuu ya EU nadhani ni wakati sasa wa Lissu na genge lake kurejea nyumbani,

#Hawa wazungu wamewachoka hawa jamaa basi tu wanashindwa kuwafukuza kwani wanajua Tanzania chini ya Rais Samia ni Salama mno kuliko wakati wowote tangu tupate Uhuru,
View attachment 2032472
 
Wakati Lissu na genge lake wakiipigia chepuo Tanzania inyimwe misaada mbalimbali ya kibinadamu na kimaendeleo toka EU, Mambo ni tofauti kidogo toka Ubelgiji nchi anayoishi Lissu Kwa kula na kulala bure, Kwani imeamua kuisaidia Tanzania dozi 115,200 za COVID-19 bila masharti huku wakiisifu Tanzania na Rais Samia kwa mageuzi makubwa, Ukisikiliza hoja za Mwakilishi wa EU aliyefika Tanzania aliyekuwa akitoa hoja bunge la EU na hii misaada inayomiminika toka makao makuu ya EU nadhani ni wakati sasa wa Lissu na genge lake kurejea nyumbani, #Hawa wazungu wamewachoka hawa jamaa basi tu wanashindwa kuwafukuza kwani wanajua Tanzania chini ya Rais Samia ni Salama mno kuliko wakati wowote tangu tupate Uhuru, View attachment 2032472
 
Kama kuna Rais wa Ukweli Tanzania tumepata basi ni huyu mama,

#MAMA KAZIIENDELEE
 
Wakati Lissu na genge lake wakiipigia chepuo Tanzania inyimwe misaada mbalimbali ya kibinadamu na kimaendeleo toka EU,

Mambo ni tofauti kidogo toka Ubelgiji nchi anayoishi Lissu Kwa kula na kulala bure,

Kwani imeamua kuisaidia Tanzania dozi 115,200 za COVID-19 bila masharti huku wakiisifu Tanzania na Rais Samia kwa mageuzi makubwa,

Ukisikiliza hoja za Mwakilishi wa EU aliyefika Tanzania aliyekuwa akitoa hoja bunge la EU na hii misaada inayomiminika toka makao makuu ya EU nadhani ni wakati sasa wa Lissu na genge lake kurejea nyumbani,

#Hawa wazungu wamewachoka hawa jamaa basi tu wanashindwa kuwafukuza kwani wanajua Tanzania chini ya Rais Samia ni Salama mno kuliko wakati wowote tangu tupate Uhuru,
View attachment 2032472
Lissu rudi nyumbani huko wameshakushtukia
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Team JF,

MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Wakati Lissu na genge lake wakiipigia chepuo Tanzania inyimwe misaada mbalimbali ya kibinadamu na kimaendeleo toka EU,

Mambo ni tofauti kidogo toka Ubelgiji nchi anayoishi Lissu Kwa kula na kulala bure,

Kwani imeamua kuisaidia Tanzania dozi 115,200 za COVID-19 bila masharti huku wakiisifu Tanzania na Rais Samia kwa mageuzi makubwa,

Ukisikiliza hoja za Mwakilishi wa EU aliyefika Tanzania aliyekuwa akitoa hoja bunge la EU na hii misaada inayomiminika toka makao makuu ya EU nadhani ni wakati sasa wa Lissu na genge lake kurejea nyumbani,

#Hawa wazungu wamewachoka hawa jamaa basi tu wanashindwa kuwafukuza kwani wanajua Tanzania chini ya Rais Samia ni Salama mno kuliko wakati wowote tangu tupate Uhuru,
View attachment 2032472
[/QUOTE.]
Hizi chanjo ni kwa ajili ya viongozi. Tunawaachia wachanjane kjla baada ya miezi 3
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Back
Top Bottom