#COVID19 Makao Makuu ya EU duniani yatoa dozi 115,200 kwa Tanzania bila Masharti

Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Blessed
Wakati Lissu na genge lake wakiipigia chepuo Tanzania inyimwe misaada mbalimbali ya kibinadamu na kimaendeleo toka EU,

Mambo ni tofauti kidogo toka Ubelgiji nchi anayoishi Lissu Kwa kula na kulala bure,

Kwani imeamua kuisaidia Tanzania dozi 115,200 za COVID-19 bila masharti huku wakiisifu Tanzania na Rais Samia kwa mageuzi makubwa,

Ukisikiliza hoja za Mwakilishi wa EU aliyefika Tanzania aliyekuwa akitoa hoja bunge la EU na hii misaada inayomiminika toka makao makuu ya EU nadhani ni wakati sasa wa Lissu na genge lake kurejea nyumbani,

#Hawa wazungu wamewachoka hawa jamaa basi tu wanashindwa kuwafukuza kwani wanajua Tanzania chini ya Rais Samia ni Salama mno kuliko wakati wowote tangu tupate Uhuru,
View attachment 2032472
Blessed Tanzania
 
Back
Top Bottom